Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 571
- 610
Kuna ye yote aliyepata kwenye awamu hii ya kwanza? Tafadhari tushirikishane
Ndio; masters pamoja na postgraduate diploma in legal practice (Law school)Yan unaulzia watu wa mastaz au
Ndio; masters pamoja na postgraduate diploma in legal practice (Law school)
[emoji33]watoto wa undergraduate wakose mkopo.. uwape watu wazima wa postgraduate kweli