No, masters ni postgraduate degree, postgraduate diploma husomwa na mtu aliyesoma degree ambayo haina connection ya moja kwa moja na master's anayotaka kwenda kusoma ama kazi anayotaka kufanya,. Kwa mfano, wew umesoma computer science na unataka sasa kuwa mwalimu , waweza kusoma postgraduate diploma ya ualimu mwaka mmoja ukawa sawa na yule aliyesomea ualimu tangu degree ya kwanza na pia ukawa na sifa ya kusoma master's ya ualimu.ngoja nijaribu kuelezea kwa uwelewa wangu post graduate husomwa kama hujafikisha pass mark au GPA ya kusomea masters flani
Hata masters yenyewe ni post graduate. Post graduate ni level zote za elimu anazosoma mtu baada ya kupata degree ya kwanza. Hapo kuna post graduate diploma, masters, PhD na Professorngoja nijaribu kuelezea kwa uwelewa wangu post graduate husomwa kama hujafikisha pass mark au GPA ya kusomea masters flani
I declare interest! I am a postgraduate and masters holder, sababu ya kwenda postgraduate ilikuwa ni kutaka kubadili fani, na sababu ya kwenda masters ni kutaka kubobea kwenye fani yangu hiyo mpya. Bila shaka nimeeleweka.No, masters ni postgraduate degree, postgraduate diploma husomwa na mtu aliyesoma degree ambayo haina connection ya moja kwa moja na master's anayotaka kwenda kusoma ama kazi anayotaka kufanya,. Kwa mfano, wew umesoma computer science na unataka sasa kuwa mwalimu , waweza kusoma postgraduate diploma ya ualimu mwaka mmoja ukawa sawa na yule aliyesomea ualimu tangu degree ya kwanza na pia ukawa na sifa ya kusoma master's ya ualimu.
relating to a course of study undertaken after completing an undergraduate degree.Wakuu poleni na mihangaiko.samahani waungwana nimekua nikipata shida sana kutokana na hili neno post grafuate.hivi hii Ni ngazi gani ya elimu? Yani ina maana gani?
Thankyou[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]relating to a course of study undertaken after completing an undergraduate degree.
So can be Postgraduate Diploma, Master or PhD.
Tofaut ni kwamba, Postgraduate diploma in education hii inafanywa na mtu aliyesoma kozi yoyote ya dgree ambayo sio education ila anataka kusomea education. Hivyo atasoma kwa miez 18 pekee atakuwa qualified. Masterz in educ hii inafanywa na mtu aliyesoma education kwenye degree yake ya kwanza hivyo anasoma masters sasa katika hiyo hiyo education, ila akichange itakuwa ni postgraduateNa tofauti kati ya Postgraduate Diploma in Education na Master's degree in Education ni ipi ?
Duh! Mkuu ongelea unachokijua, naona unaongea uongo mchana kweupeTofaut ni kwamba, Postgraduate diploma in education hii inafanywa na mtu aliyesoma kozi yoyote ya dgree ambayo sio education ila anataka kusomea education. Hivyo atasoma kwa miez 18 pekee atakuwa qualified. Masterz in educ hii inafanywa na mtu aliyesoma education kwenye degree yake ya kwanza hivyo anasoma masters sasa katika hiyo hiyo education, ila akichange itakuwa ni postgraduate
Ngoja nieleze kwa mifano ili unielewe kwa urahisi!.. Kwa mfano wewe umesoma Bachelor Degree in Environmental Planning and Management pale chuo cha mipango Dodoma baada ya kuhitimu ukataduta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio. Easa unapata wazo la kuajiriwa kama mwalimu wa Secondary kwa sababu kwenye degree uliuosoma kuna masomo jama Geography and Mathematixs ulisoma. Sasa xha kufanya badala ya kuanza kusoma degree ya Education kwa muda wa miaka mitatu wewe unaomba kusoma Postgraduate Diploma in Education kwa mwaka mmoja tu, ambapo masomo yako ya kufundishia itakuwa Hiyo Geography and Mathematics.. Kumbuka walimu wengi wa secondary ambao walisoma degree zisizo za ualimu waliweza kuwa walimu kwa mbinu hiyo... Pia unaweza ukaitumia hiyo postgraduate Diploma kama entry qualification ya kusoma Masters Degree in Education, wakati ulisoma degree ya mazingira undergraduate!!!Na tofauti kati ya Postgraduate Diploma in Education na Master's degree in Education ni ipi ?
Nimekupata vizur mkuuNgoja nieleze kwa mifano ili unielewe kwa urahisi!.. Kwa mfano wewe umesoma Bachelor Degree in Environmental Planning and Management pale chuo cha mipango Dodoma baada ya kuhitimu ukataduta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio. Easa unapata wazo la kuajiriwa kama mwalimu wa Secondary kwa sababu kwenye degree uliuosoma kuna masomo jama Geography and Mathematixs ulisoma. Sasa xha kufanya badala ya kuanza kusoma degree ya Education kwa muda wa miaka mitatu wewe unaomba kusoma Postgraduate Diploma in Education kwa mwaka mmoja tu, ambapo masomo yako ya kufundishia itakuwa Hiyo Geography and Mathematics.. Kumbuka walimu wengi wa secondary ambao walisoma degree zisizo za ualimu waliweza kuwa walimu kwa mbinu hiyo... Pia unaweza ukaitumia hiyo postgraduate Diploma kama entry qualification ya kusoma Masters Degree in Education, wakati ulisoma degree ya mazingira undergraduate!!!
NB: wewe ambaye umeaoma degree ya maIngira then ukapiga postgraduate Diploma in Eduxation utahesabika sawa na mtu aliyesomea degree ya Esucation miaka mitatu... Hope umenielewa!!!
Ni uongo sio, hongera wewe unaejua ukweli mkuuDuh! Mkuu ongelea unachokijua, naona unaongea uongo mchana kweupe
Uzuri wa post graduate masomo ni yale yale tu wanaosoma degreeNo, masters ni postgraduate degree, postgraduate diploma husomwa na mtu aliyesoma degree ambayo haina connection ya moja kwa moja na master's anayotaka kwenda kusoma ama kazi anayotaka kufanya,. Kwa mfano, wew umesoma computer science na unataka sasa kuwa mwalimu , waweza kusoma postgraduate diploma ya ualimu mwaka mmoja ukawa sawa na yule aliyesomea ualimu tangu degree ya kwanza na pia ukawa na sifa ya kusoma master's ya ualimu.
Hapo sawa mkuu ila shida ni sauti iko chini ongeza sauti tafadhaliI declare interest! I am a postgraduate and masters holder, sababu ya kwenda postgraduate ilikuwa ni kutaka kubadili fani, na sababu ya kwenda masters ni kutaka kubobea kwenye fani yangu hiyo mpya. Bila shaka nimeeleweka.
Mkuu unalevel gani ya elimu?Ngoja nieleze kwa mifano ili unielewe kwa urahisi!.. Kwa mfano wewe umesoma Bachelor Degree in Environmental Planning and Management pale chuo cha mipango Dodoma baada ya kuhitimu ukataduta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio. Easa unapata wazo la kuajiriwa kama mwalimu wa Secondary kwa sababu kwenye degree uliuosoma kuna masomo jama Geography and Mathematixs ulisoma. Sasa xha kufanya badala ya kuanza kusoma degree ya Education kwa muda wa miaka mitatu wewe unaomba kusoma Postgraduate Diploma in Education kwa mwaka mmoja tu, ambapo masomo yako ya kufundishia itakuwa Hiyo Geography and Mathematics.. Kumbuka walimu wengi wa secondary ambao walisoma degree zisizo za ualimu waliweza kuwa walimu kwa mbinu hiyo... Pia unaweza ukaitumia hiyo postgraduate Diploma kama entry qualification ya kusoma Masters Degree in Education, wakati ulisoma degree ya mazingira undergraduate!!!
NB: wewe ambaye umeaoma degree ya maIngira then ukapiga postgraduate Diploma in Eduxation utahesabika sawa na mtu aliyesomea degree ya Esucation miaka mitatu... Hope umenielewa!!!
Wewe ni Holder wa postgraduate diploma na Masters!I declare interest! I am a postgraduate and masters holder, sababu ya kwenda postgraduate ilikuwa ni kutaka kubadili fani, na sababu ya kwenda masters ni kutaka kubobea kwenye fani yangu hiyo mpya. Bila shaka nimeeleweka.
Wewe ndiyo muongo. Jamaa kazungumza ukweli, kuna baadhi ya kada huwez kusoma masters yake kama hujaisomea degree au postgraduate diploma. Miongoni mwazo ni Education.. Ili usome masters ya education ni lazima either uwe na bachelor ya education au postgraduate diploma ya education.Duh! Mkuu ongelea unachokijua, naona unaongea uongo mchana kweupe
Huyo jamaa achana naye hajui kituN
Ni uongo sio, hongera wewe unaejua ukweli mkuu
Post means after...Chochote kilichoko bahada ya first degree ni Postgraduate study ila Masters ni degree ya pili kiutaratibu.Daaah hili sasa wazo jipya kabisa tena.ina maana kama postgraduate iko ndani ya masters hii inaashiria kwamba masters ni ndogo kuliko postgraduate? Au postgraduate degree tunaweza kusema kwa jina lingine ndiyo masters???
Amesema Masters iko ndani ya post graduateDaaah hili sasa wazo jipya kabisa tena.ina maana kama postgraduate iko ndani ya masters hii inaashiria kwamba masters ni ndogo kuliko postgraduate? Au postgraduate degree tunaweza kusema kwa jina lingine ndiyo masters???
Tofauti Ni kwamba huyo aliyepo postgraduate diploma in education yupo njiani kuelekea Mater's degree in education.Na tofauti kati ya Postgraduate Diploma in Education na Master's degree in Education ni ipi ?