Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,180
Naomba kuuliza kua ni lini watatoa majina ya walioomba sensa na je watatumia utaratibu gani je kuna uwezekano wa form 4 kuchaguliwa akakosa wa chuo kikuu?
Asanteni
Asanteni
iii) Awe ni mtumishi wa umma au sekta binafsi au yeyote asiye na ajira anayeishiNaomba kuuliza kua ni lini watatoa majina ya walioomba sensa na je watatumia utaratibu gani je kuna uwezekano wa form 4 kuchaguliwa akakosa wa chuo kikuu?... Asanteni
Tarehe 2 au 3 mwezi wa sita ndio majina yatatoka na kubandikwaNaomba kuuliza kua ni lini watatoa majina ya walioomba sensa na je watatumia utaratibu gani je kuna uwezekano wa form 4 kuchaguliwa akakosa wa chuo kikuu?
Asanteni
Leo mwezi wa sita tarehe 13 hata dalili hamnaTarehe 2 au 3 mwezi wa sita ndio majina yatatoka na kubandikwa
Sijapeleka ila nachojua ni jina lirudi alafu niitwe kwenye usaili ndo nitampelekea hio form bila kuona jina sipelekiTatizo wengi mnataka kufanya hiyo kazi sehemu za mijini tu,kama una babu yako kijijini unatakiwa ujaze kijijini kwa babu yako na unapeleka form yako kwa Mtendaji wa Kijiji anakuwekea sahihi na kupiga muhuri.Sasa unakuta wewe umechagua Mjini halafu mtaa wenyewe mmeomba watu 10..Moja ya kigezo unatakiwa upeleke form yako kwa Mtendaji wa eneo ulilochagua kufanya kazi