Possibility of NSA having a spy firmware in each hard disk

Freelancer

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
2,950
Reaction score
2,149
Hii ni news from Reuters kwamba kuna firmware imekuwa planted na moja ya intelligence agencies katika kila hard disk zinazotoka nchini marekani. Hii firmware ina start pale unapo boot computer.

Through that firmware wanaweza waka track averything stores on your machine. The only organization that can pull this stunt is NSA.

 
Mi hata wakijua nayofanya haiwasidii ki2.
 
wamarekani wenyewe wanatumia makaratasi. hizi technology si za kuvamia hasa kama hzitengenezwi ndani ya nchi

Wanatumia computer. ila kila computer lazuma source code iwe examined na hardware pia. Mara nyingi huwa wanatumia Defense au security Contractors. Na kampuni kabla haijafanya biashara na intelligence lazima iwe vetted.

Na wafanyakazi wake wanakuwa kama ni ma spy pia. Mfano ni Snowden. Snowden alikuwa hafanyi kazi NSA ila alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni iliyo na contract na NSA.

Na ukitaka kufanya kazi kwenye hizi kampuni lazima uwe ni ex employee wa either CIA or NSA
 

sure wanatumia computer ila chunguza viongozi wakubwa wa hii nchi wakiwa ofisini kupoje. mara chache unakuta computer

Obama-raisi


angalia raisi akiongea na raisi mwenzake inakuwaje. hata mikutano ya siri hawatumii hivi vidude ni makaratasi kwenda mbele

computer zinatumika kutuchunguza sisi, mawasiliano na mengineyo ila huku juu kwennye inteligence hazitumiki sana
 
Chief-Mkwawa

Computer kwao ni muhimu kwa ajili ya kusaidia kwenye analysis na pa kwa ajili ya ku exchange info kati ya agency moja na nyingine. Pia hata coordination ya covert assets inaweza ikawa managed kwennye secured database. Ila access ya computer inategemea na clearnce level ya ofisa.

Mfano kunaweza kukawa na faili fulani la asset kwenye mashine lakini only handlers na watu wenye cvlearnce level fulani ndo wanaweza wakawa waqnajua identity ye covert operatives. Ila wanachotuzidi ni kwamba wao hawanunui tu computer na kuanza kuitumia.

Computer wanayotumia wao lazima iwe built na defense contracter na si vendor yeyote wa mtaani. Na defense contrators wote huwa ni maofisa wastaafu. Hawachukui tu mtu mtaani.
 
Last edited by a moderator:
Mi hata wakijua nayofanya haiwasidii ki2.
Ndugu mwizi akija kwako hubeba kila kitu ataenda kuchambua mbele ya safari.So si kwamba wanachukua kila kitu,wana angalia information zenye umuhimu kwao,kwa kweli ukijua yanayoendelea kwenye ulimwengu wa intelligence unaweza kosa raha.
Nilishiwa nguvu nilivyogundua jamaa wanatumonitor kila mawasiliano na wametugawana wengine wanamonitor Africa,wengine Asia kazi ipo.Anya way kama huna kibaya you are ok,Osama alijua jinsi wanavyofanya kazi ndiyo maana aliepuka technologia na ikawachukua muda mrefu kumkamata.
 
wamarekani wenyewe wanatumia makaratasi. hizi technology si za kuvamia hasa kama hzitengenezwi ndani ya nchi

Mkuu hata hayo makaratasi yanaandikwa kwa kutumia kompyuta hata kama sio moja kwa moja ila habari au mambo ambayo yapo kwenye hayo makaratasi lazima kompyuta itumike. Nafikiri Freelancer ameelezea kwa ufasaha zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hata hayo makaratasi yanaandikwa kwa kutumia kompyuta hata kama sio moja kwa moja ila habari au mambo ambayo yapo kwenye hayo makaratasi lazima kompyuta itumike. Nafikiri Freelancer ameelezea kwa ufasaha zaidi.

posibility ya karatasi kuandikwa na kalamu ni kubwa zaidi, muda mwingi ofisi ya obama haina hata computer unafikiri anaandikaje?
 
Last edited by a moderator:
posibility ya karatasi kuandikwa na kalamu ni kubwa zaidi, muda mwingi ofisi ya obama haina hata computer unafikiri anaandikaje?

Nimekuelewa na nakubaliana na wewe kabisa mkuu, nnachosisitiza ni kwamba sio lazima aandike yeye, hata hayo yaliyopo kwenye makaratasi chanzo chake ni kwenye kompyuta.
 
Me nadhani the best way nni kuwa offline(No internet) kama ilivyo best way kuzima data mode kwa android na other os.
 
Mambo yote ya upelelezi yapo kwenye cable. Hapo ndio kuna "mlango wa nyuma" umejengwa kunyonya data kutoka kwa watumiaji wa mtandao wanapounganishiwa mtandao kutoka kwenye hizo cable walizoziweka chini kwa chini bararini na kuunganisha mitandao ya nchi mbalimbali zikifika nchi kavu.

Makampuni ya simu kama ya cable & wireless ( sasa inamilikiwa na vodafone UK ) na makampuni kama ya Cisco ya Marekani yanayotengeneza vifaa vya kupata mitandao wanafanya kazi pamoja na serikali zao kunyonya data kwa sababu za " usalama wa taifa ".

Kampuni ya Kichina inayotengeneza vifaa vya simu na mitandao pia, huawei, imekataliwa kuuza cable Marekani kwa sababu za "usalama wa taifa". Mwenye hio kampuni, Ren Zhenfei, alikuwa afisa wa kijeshi wa China na wanahofu kuwa jeshi la China linafanya kazi nae pamoja za kunyonya data katika cable zake. Huawei imekanusha habari hio na kusema sababu ni kubanwa kibiashara katika soko la Marekani. Inaendelea kuuza vifaa vyake Ulaya na hata kwetu vya thamani ya US$40 bilioni sawasawa na uzalishaji wote wa Tanzania.

Soma zaidi chini.

GCHQ taps fibre-optic cables for secret access to world's communications

Exclusive: British spy agency collects and stores vast quantities of global email messages, Facebook posts, internet histories and calls, and shares them with NSA, latest documents from Edward Snowden reveal.

Cable and Wireless even went as far as providing traffic from a rival foreign communications company, handing information sent by millions of internet users worldwide over to spies.

Source: theguardian.com


American officials have long considered Huawei, the Chinese telecommunications giant, a security threat, blocking it from business deals in the United States for fear that the company would create “back doors” in its equipment that could allow the Chinese military or Beijing-backed hackers to steal corporate and government secrets.

source: washingtonpost.com




...........The N.S.A. saw an additional opportunity: As Huawei invested in new technology and laid undersea cables to connect its $40 billion-a-year networking empire, the agency was interested in tunneling into key Chinese customers, including “high priority targets — Iran, Afghanistan, Pakistan, Kenya, Cuba.”

The documents offer no answer to a central question: Is Huawei an independent company, as its leaders contend, or a front for the People’s Liberation Army, as American officials suggest but have never publicly proved?

Still, the October 2012 report concluded that the companies must be blocked from “acquisitions, takeover or mergers” in the United States, and “cannot be trusted to be free of foreign state influence.”

Huawei, which has all but given up its hopes of entering the American market, complains that it is the victim of protectionism, swathed in trumped-up national security concerns. Company officials insist that it has no connection to the People’s Liberation Army.

The man behind Huawei is Ren Zhengfei, the company’s elusive founder, who was a P.L.A. engineer in the 1970s. To the Chinese, he is something akin to Steve Jobs — an entrepreneur who started a digital empire with little more than $3,000 in the mid-1980s, and took on both state-owned companies and foreign competitors. But to American officials, he is a link to the People’s Liberation Army.


Source: nytimes.com
 
posibility ya karatasi kuandikwa na kalamu ni kubwa zaidi, muda mwingi ofisi ya obama haina hata computer unafikiri anaandikaje?
Cheki mzee mzima ndani ya airforce one na kuna laptop pembeni. unasemaje kuhusu hilo?
 

Attachments

  • obama.jpg
    96.7 KB · Views: 451
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…