Nadhani uwezekano ni mgumu mkuu, hapo itakua tarehe 29 ni siku yake ya 18 katika mzunguko wake wa hedhi, yai likitoka tarehe 14 huwa linakaa siku 3 mwisho 4 ukiangalia kwa umakini utagundua siku ya 17 ndio mwisho wa danger, ila wataalamu zaidi watakujibu hapo nimenajaribu tu.