Posho

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
83
Kwasababu madawati ni tatizo la kudumu katika shule za watotowetu napendekeza haya: -1=kila mbunge ,mkuu wa mkoa,mkuu wa wilya,wakurugenzi,manaibu waziri,wafanya biashara wakubwa,makampuni,mashirika,ngos,wizara,wa/ ajitoloee posho yake japo shilingi laki tano,wakuu wengine wa serikali wachangi laki mbili, ambayo atatengeneza madawatikwa kufuata vipimo sahihi na achangie kwenda wizara ya elimu wao watayapangia kutokana na mahitaji katika shule.wengine wenye mapenzi mema
 

Attachments

  • MADAWATI YA KISASA.jpg
    74.6 KB · Views: 70
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…