mjukuumimi
Member
- Sep 22, 2015
- 15
- 0
Pamoja na kujisifu kote, pamoja na majigambo, posho ya mawakala CHADEMA na UKAWA zilikuwa ni laki mbili kwa kata nzima. Halafu wanalalamika wameibiwa kura duuh!
Mamilioni wamepewa 'wataalamu wa IT' ambao nao hawakufanikisha lolote! Ni aibu sana. Ofisi za kata wilaya zinaambiwa zijitegemee wakubwa hawalioni hili. Siasa za aina hii ni ngumu kuiponesha Tanzania.
Halafu viti maalumu Joyce Mukya tena! Bado tu hajapata uzoefu? Mke wa Kubenea ndani duuuu!