Porsche Carerra ya Joseph Kusaga

Kawaida lakin...hela ipo bongo watu wana Yatch,Lambo,Maserati,Magnum,Couvett,Enzo,...wacha tukomae na Trade Car View na Gari zetu bei ya Laptop
 
Sisi tupo humu.......660cc

1999-toyota-duetcolor-goldengine-1000cctransmission-autosteering-autocd-dvd-playersports-rimnew-tirejust-1000_1.jpg

hiyo gari inaitwaje nmeipenda
 
Bongo hakufai nakumbuka 2005 wakati mliman city inafunguliwa tulikuta mdada wa kiarabu amekuja na navigator hiyo mwaka 2005/2006 sikumbuki vizuri wakati are we there yet ile movie ya ice cube nayo ndo imetoka gari aliyouzia sura ice cube navigator kwenye hiyo movie,,

Garo nimetoka kuliona kwenye movie kama juzi na ice cube anajitamba kweli na hilo gari kwenye are we there yet 2005 halafu baada ya siku mbili hiyo hiyo 2005 nikakuta mtu anapush bongo tena mdada wa kiarabu mzuri yuko na vitoto vyake wameshuka kwenye navigator nyeusi mliman city yote watu walitoa macho enzi hizo..

Nikasema kuna wabongo wana hela watu wanamletea ubish mpaka ice cube...
 
Back
Top Bottom