speechwriter
Senior Member
- Jul 4, 2011
- 137
- 50
Hizo zote kwenye picha ni za kwake? na ni wapi hapo naona kama panafanana na Samora Avenue.
Its good to see the brother anazungusha na Porsche in Dar...nishachoka kumwona Ketan (naskia kaingiza Bugatti ) na magari mazuri.....lakini naomba kuuliza, hivi how does he maintain that monster in Dar? Hivi wapo ma dealers wa Porsche in Dar au anaipeleka Nairobi?
Once again I was really impressed kumwona mswahili anaendesha hili gari considering tulikotoka mbali (at least kwa umri wangu) kulee sensui pale salenda brigde
anyone?
Unajua tena tunaweza kupata ya ma dealers na walau na sie tukaweza kuviendesha. Mind you Porsche Cayenne zimejazana Dar ila mambo ya Carerra au Boxter nimemwona nayo JK tuuu
That's not even SamoraHizo zote kwenye picha ni za kwake? na ni wapi hapo naona kama panafanana na Samora Avenue.
Mkewe ana kama hii........
Camaraderie true dat ile ya rangi nyekundu kama sikosei
Its good to see the brother anazungusha na Porsche in Dar...nishachoka kumwona Ketan (naskia kaingiza Bugatti ) na magari mazuri.....lakini naomba kuuliza, hivi how does he maintain that monster in Dar? Hivi wapo ma dealers wa Porsche in Dar au anaipeleka Nairobi?
Once again I was really impressed kumwona mswahili anaendesha hili gari considering tulikotoka mbali (at least kwa umri wangu) kulee sensui pale salenda brigde
anyone?
Unajua tena tunaweza kupata ya ma dealers na walau na sie tukaweza kuviendesha. Mind you Porsche Cayenne zimejazana Dar ila mambo ya Carerra au Boxter nimemwona nayo JK tuuu
Mimi nafuatia kuhama hiii nchi.
kama hapa ni tanzania
nahama nchi!
mleta mada una visa
kama hapa ni tanzania
nahama nchi!
mleta mada una visa

Hizo zote kwenye picha ni za kwake? na ni wapi hapo naona kama panafanana na Samora Avenue.
..ambacho kimepakana na kijiji cha IBINZAMATA upande wa kusini

Sio Samora Avenue hapo ni Shinyanga Meatu kijiji cha Gamboshi
umepatia 100%