nahisi kama halimashauri ya dar bageti ishakauka mashimo na mahandaki ni mengi sana dar na kila mtu anapenda gari lake alilolipia kodi sawa wakianza kuziba mahandaki na mavyuma yaliyonyofolewa na watu ilhali mamlaka haijui mali zake zipoje na wanazilindaje watapunguza foleni halafu mataa nayo yawekwe standby umeme,waongeze makusanyo waongeze ufanisi na sio hv mashimo mashimo na mikwara ya kuchima makaro na kuacha mwezi bila ukarabati