Ngoja tumuite 1stMay njoo huku unatafutwawapendwa ktk jina la bwana, namtafuta ndugu yangu tulikutana nae humu humu jf, simu yangu ikazingua, nkapotezana nae, anaitwa 1st may,, pls popote pale ulipo mwenzio nakutafuta, !!
wapendwa ktk jina la bwana, namtafuta ndugu yangu tulikutana nae humu humu jf, simu yangu ikazingua, nkapotezana nae, anaitwa 1st may,, pls popote pale ulipo mwenzio nakutafuta, !!
Aisee..Nilikuwa nakusaundisha wewe au???[emoji32]
am happy,Aisee..
mbinu uliyotumia kumuita imefaulu..kaja kweli...
Nimekuja kaka ila nimebadili ID....[emoji48][emoji48][emoji48]wapendwa ktk jina la bwana, namtafuta ndugu yangu tulikutana nae humu humu jf, simu yangu ikazingua, nkapotezana nae, anaitwa 1st may,, pls popote pale ulipo mwenzio nakutafuta, !!
Mhhh hapo sio weweNimekuja Nimekuja kaka ila nimebadili ID....[emoji48][emoji48][emoji48]
Sent using Jamii Forums mobile app