Popote alipo anisamehe

Sir. kanali hautufai jeshini kabisa tunakuvua cheo chetu . Utashindwaje kumalizia story au mpaka sasa umeishiwa nguvu utakapo pata nguvu utaendelea eti.
 
Amefungua uzi mwingine kumalizia story yake, mbaya zaidi na huko hajaimalizia
 
Huyu kanali Mwime,si alisema yupo South Africa kutafuta maisha na akatuwekea na picha za huko,vipi umerudi bongo au unawaza demu wako ukiwa huko huko SA?
Shida ya humu JF siku hizi chai ni nyingi kuliko vitafunwa!!)
 
Daah nimecheka pekeyangu hapa
 
Doh doh do doh doh! Story mbaya kama nini sitaki hata kuifatiria maana ninanikumbusha machungu ya kutemwa na binti mzuri hivi mtoto wa Kinya rwanda.
 
Kija jambo lina chanzo chake mkuu... nakusauri chunguza matendo yako kwa huyo mwanamke uliezaa nae huenda ulimtelekeza ndo karma ikaja kwa kupitia huyo mwanamke alieondoka.

Maisha yetu hapa duniani ni matokeo ya matendo yetu hapa dunia so iwapo ulitenda jema basi hesabia kuvuna jema na kama ulitenda baya hesabia kupata baya.

Imeniuma kidogo lakini hongera kwa kusema ukweli naamini ni mwendo wa kupata ufumbuzi wa tatizo lako.
Pole sana MUNGU awe nawe hata kama umedhulumiwa MUNGU atakulipa.
 
Haha mbona stori imeishia njian au ndo unajifuta machozi uendelee
 
Inaendelea...

Baas alipoiweka ile chupa ya Konyagi,

ghafla..

si akatokea jini shumileta...

itaendelea......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…