Popobawa originally

A sort of mass hallucinations na mara nyingi ni mambo ya pwani ambako kuna vitu vya ajabu ajabu kama mwembe basha nk

Kingereza ndugu yangu ni wito.Mie nimeambulia hayo ya kiswahili hata hiyo "mwembe basha"sijaielewa kwakweli
 
Hahahahaha mshanaaa! Wakupe segement ya dakika 5 itv kila siku baada ya habari kufurahisha wa TZ!
 
Kingereza ndugu yangu ni wito.Mie nimeambulia hayo ya kiswahili hata hiyo "mwembe basha"sijaielewa kwakweli

Mass hallucinations ni kitu chochote cha kufikirika kishicho cha kawaida ambacho husambazwa kwa kasi na kuonekana kama ni kitu cha kweli kabisa lakini kisicho na ithibati hata moja, kila utakayemuuliza hili ni kweli atakwambia nimeambiwa au imemtokea mtu Fulani

Mwembe basha ni mti mwa mwembe mkubwa upo sehemu mbalimbali Tanga mjini na vijijini una upepo mwanana hasa, sasa watu wa pwani hupenda kujipumzisha nyakati za mchana lakini ukijipumzisha tu kwenye mwembe wa namna hiyo lazima ufanyiwe vitendo vichafu vya kifirauni, lakini hata mmoja alishawahi kukiri kufanyiwa binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…