Sasa hawa makufar na washirikina wa kikristo watakuwa wageni wa nani!!!!!
Kwani si huwa wanadai Israel ndio chimbuko la dini yao, sasa mbona wana be hated kiasi hiki?????
ushahidi ndo huu.Uko wapi uthibitisho!?
Hii ni moja ya njama zinazofanywa na Wapinzani wa Kanisa na hii habari ni mtu tu ameamua kujiandikia.
Sasa hawa makufar na washirikina wa kikristo watakuwa wageni wa nani!!!!!
Kwani si huwa wanadai Israel ndio chimbuko la dini yao, sasa mbona wana be hated kiasi hiki?????
Wewe sio mwislamu. Mwislamu anayefuata mafundisho ya mtume hawezi kuwa na kauli chafu kwa wenzake. Nakuweka mikononi mwa mtume akuhukumu!
Achana nae maalim mtu mwenyewe hapo alipo hajaenda masjid leo na utakuta kanya na hajajitawadha ndio maana anaongea utakfiri hapa!!
??...!!.Sawa kabisa, tumuachie Mtume amhukumu kwa kauli chafu kwa wenzake!
Sawa kabisa, tumuachie Mtume amhukumu kwa kauli chafu kwa wenzake!
Wakati POPE akijiandaa kufanya ziara nchini Israel Jews wameanza kuvuruga kwa kuchora graffiti kwenye kuta mbalimbal za kumponda na anti cristian...ikumbukwe israel wanadin yao tofauti na ukristo kw wengi tunavyodhani...vkosi vya ulinzi vimeongezwa ili mambo yasiharibike
Sasa hawa makufar na washirikina wa kikristo watakuwa wageni wa nani!!!!!
Kwani si huwa wanadai Israel ndio chimbuko la dini yao, sasa mbona wana be hated kiasi hiki?????
Inaelekea kwa mtazamo wako unadhani kujua kusoma na kuandika ni Kiswahili na lugha za kizungu peke yake... unasahau kwamba mathalani, Japan au China wana alphabets zao ambazo hazifanani kabisa na hizi za kwetu! So, Mchina anayeandika na kusoma Kichina lakini hawezi lugha yoyote ya Magharibi... unataka kusema Mchina huyo hajui kusoma na kuandika?! Kama ulidhani hoja yako ni ya maana sana badi labda ungesema asingejua kusoma na kuandika Kiswahili na Kizungu lakini kusema asingejua hata kusoma wakati umesema "unafikiri ungesoma Quran...." Kwahiyo angesoma Koran na bado tena asijue kusoma... maajabu haya!!!Unapenda kutukaka hata ukiwatukana wao ndo wanaoshikilia kila kitu kuanzia shule, unadhani ungesoma quraani yako ungejua hata kuandika na kusoma, hayo madaraja, upasuaji mahospitalini majengo bila wao hata hiyo laptop unayotumia kuandika ujinga wako usingeijua.
Was it necessary? Hivi kweli ni hivi ndivyo Mtume wetu alivyokuwa anaishi na wale wasio Waislamu? Hivi ni kweli Mtume wetu walikuwa ni mtu mwenye chuki na lugha za kuudhi kiasi hiki dhidi ya wale ambao hawakuwa Waislamu ambao walienea kila kona ya Bara Arabu? Kwa hakika tunadhalilisha dini yetu kiasi cha kuonekana ni dini ya hovyo hovyo... kwa mtindo huu, kwa hakika tunafanya adui wa Uislamu kuwa mwislamu mwenyewe hadi napata shaka siku hizi ikiwa wote humu wanaojidai waislamu ni waislamu kweli au ni watu disguised as Muslims na kuanza kutoa lugha za hovyo hovyo ili ionekane Uislamu ndivyo walivyo.Sasa hawa makufar na washirikina wa kikristo watakuwa wageni wa nani!!!!!
Kwani si huwa wanadai Israel ndio chimbuko la dini yao, sasa mbona wana be hated kiasi hiki?????
Inaelekea kwa mtazamo wako unadhani kujua kusoma na kuandika ni Kiswahili na lugha za kizungu peke yake... unasahau kwamba mathalani, Japan au China wana alphabets zao ambazo hazifanani kabisa na hizi za kwetu! So, Mchina anayeandika na kusoma Kichina lakini hawezi lugha yoyote ya Magharibi... unataka kusema Mchina huyo hajui kusoma na kuandika?! Kama ulidhani hoja yako ni ya maana sana badi labda ungesema asingejua kusoma na kuandika Kiswahili na Kizungu lakini kusema asingejua hata kusoma wakati umesema "unafikiri ungesoma Quran...." Kwahiyo angesoma Koran na bado tena asijue kusoma... maajabu haya!!!