Bob Lee Swagger
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 1,362
- 519
Kaka we hukupata nafasi nini au ule moshi mweusi wa kwanza ulikuwa unakuhusu??
Pia inaonesha ni muumini wa lile andiko la "apendaye kujikweza atadhiriwa" Maana inasemekana hata kule kwao alikataa kuishi kwenye nyumba ya Askofu Mkuu akawa anaishi kwenye nyumba ya mapadre, kujipikia chakula chake mwenyewe, kuendesha gari mwenyewe bila kuhitaji dereva. Pia jana akakataa kupanda gari la kifahari badala yake akapanda mini-bus pamoja na makadinali wengine. Ndo maana hata jina akachagua la kumwenzi Mt. Fransisco wa Asisi
Ila kwa hii kazi aliyoipata Protocol za Kanisa lazima zitambana tu atake asitake. Tunamrudishia sifa MUNGU kwa kutuletea mchungaji mwema atakayepaendeleza mahala pa Mtume Petro (kama alivyokabidhiwa na YESU KRISTU).
Vipi nasikia ana pafu moja....mm ni wa upande mwingine kilichonifurahisha ni pale alipoomba umati umbariki na si yy awabariki.........
Kaka we hukupata nafasi nini au ule moshi mweusi wa kwanza ulikuwa unakuhusu??
Hahaa nadhani moshi mweusi uliashiria huyu kutoswa! Ila huyu atakua kardinali toka kongo huyu!! Si unaona anaitwa Mopao?!!
Huyu seems to resemble John Paul II. I miss him a lot.. May he rest in peace
VATICAN CITY: "Cardinalem Bergoglio qui sibi nomen imposuit Franciscum," the Vatican's proto-deacon said as he presented the new leader of the world's 1.2 billion Catholics to the world on Wednesday -- crucially without adding the world "Primum" (the first).Mkuu nafikri hujui kwa nini watu wanasema Pope Francis I? Hapajawahi kutoka Pope mwenye jina hilo kwenye historia ya kanisa. Ila kama una ushahidi tunaomba utuletee hapa. Lakini hata hivyo kama kungekuwapo mwingine mwenye jina hilo aliyepata kutokea basi huyu angeitwa Pope Francis II.
Kwa hiyo Mkuu tunakufahamisha kuwa kama atakuja kutokea Pope mwingine akachagua jina hili la Francis, basi huyo atakuwa wa II! Sasa jaribu tu kushirikisha halmashauri ya kichwa chako kwamba kama huyo atakayekuja mwenye jina hilo wa I atakuwa alitoka wapi? kama siyo huyu wa sasa? Kwa mfano Pope Benedict XVI amefuata mlolongo huo katika orodha ya ma-Pope waliokuwa wanatumia jina la Benedict, kwa hiyo hata ukifuatailia orodha ya ma-Pope kama yule aliyeanza kutumia jina la Benedict hakuitwa wa I lazima aliyemfuata kwa jina hilo atakuwa aliitwa Benedict II.
Natumaini somo hili litakuwa limekuingia hata kama utakuwa wewe siyo Mkatoliki. Kwa hiyo sisi tunaomwita Pope Francis I tuache tufanye hivyo na wale wanaomwita Pope Francis nao waache wafanye hivyo kulingana na uelewa wa kila mmoja, wala usitumie nguvu kutusahihisha.
Aaah wifi; its you i saw at the vatican! I was standing just behind you. Im just scared for him for this big cross he ought to carry.When l saw him yesterday, l couldn't do anything than to love him. He looks so humble; we are indeed blessed!
Since tuko wadogo I only knew pope John Paul II was the one and only pope! I never thought there would be another one.. He was so humble and down to earth. I used to put much trust and faith on him kiasi kwamba ningepata chance hata ya kugusa vazi lake my whole life could change! Unfortunately i was very little when he visited Tz in 1990 sikupata chance hiyo coz ilikuwa ngumu sana kumfikiaWengi wamemkumbuka sana John Paul II!
Kwa kuwa hajawahi kutoke Papa aliyechukua jina la "Francis", then for now "Papa Francis" = "Papa Francis I"...!Nasahihisha tu, sio Pope Francis I, ni Pope Francis.