Rest in Peace PRINCE,Mzee wa Purple rain, This is devastating newsKweli Mkuu! Suddenly ??!
Duh, kumbe ni homo, ujue tangu zamani nilikua nmdhania tu na baadae nadhani alioa au la, star mwenzake na wakapata mtoto, mie nikaona labda sio.... huyo mtoto alizaliwa na ulemavu fulani hv, akafa kiutatanishi, wazazi wote wakataka kufunguliwa kesi ya mauaji sijui walisevu vp mambo ya fedha!Daah! Sad news. Jamaa alikuwa ni homosexual kama alivyokuwa Freddie Mercury wa kundi la Queen la Uingereza. Tutamkumbuka kwa nyimbo zake nyingi na za kuburudisha kama Purple Rain, Kiss, Musicology, Raspberry, Sign of the Times, Thieves in the Temple, When Doves Cry n.k.
Dah! yani so soon. hapa wanasema majuzi alizidiwa na flu, akiwa na ndege yake safarini ikadidi atue sehemu atibiwe....nimesikitika sana...with all the riches, private jet, estates na bado anaheshimika kwenye tasnia hii...Kweli Mkuu! Suddenly ??!
Ndiyo hivyo mkuu. Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya muziki miaka ya 1990 jamaa aliwahi kubadilisha jina lake na kujipa alama fulani ambayo ilikuwa haiwezi kutamkika lakini ikiwa imejumuisha jinsia ya kiume na ya kike badala ya jina lake lililozoeleka la Prince.Duh, kumbe ni homo, ujue tangu zamani nilikua nmdhania tu na baadae nadhani alioa au la, star mwenzake na wakapata mtoto, mie nikaona labda sio.... huyo mtoto alizaliwa na ulemavu fulani hv, akafa kiutatanishi, wazazi wote wakataka kufunguliwa kesi ya mauaji sijui walisevu vp mambo ya fedha!
Aisee ni miaka mingi imepita nimekumbuka.....na pia kuongezea hapo alikua na matatizo na lebel ya muziki aliyokua anafanya chini yake, kuwakomesha akaamua kujipa hiyo alama badala ya kutumia jina la prince ambalo lipo kwenye mikataba...nadhani ni mambo ya kubaniana mpunga. kwahiyo akawa anafanya kazi kwa ile alama tuna kupiga shows...kwakweli kwenye hicho kipindi walimuua kimuziki....na ndio maana kifo chake kinasikitisha sababu nae alipita kwenye kipindi hicho kigumu na kuweza ku survive na ku recover....imagine hadi leo hii maiti imemkuta and still young.Ndiyo hivyo mkuu. Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya muziki miaka ya 1990 jamaa aliwahi kubadilisha jina lake na kujipa alama fulani ambayo ilikuwa haiwezi kutamkika lakini ikiwa imejumuisha jinsia ya kiume na ya kike badala ya jina lake lililozoeleka la Prince.
Matokeo yake ikabidi awe anatambulishwa kwa jina la "The Artist Formerly Known As Prince" au kwa kifupi TAFKAP au wakati mwingine akitambulishwa kwa jina la "The Artist".
Hata hivyo miaka kadhaa baadae alikuja akabadili hilo jina la alama na kurudia lile jina lake lililozoeleka. Ile kujipachika jina lenye alama za "kitundu" na "kimshale" ndiyo kilikuja kuaminisha watu kuhusu madai yaliyokuwepo siku nyingi juu yake kuwa jamaa ni "mtumiwaji" kwa sababu kwa alama hiyo alikuwa akimaanisha yeye anatumika kama "kitundu" na pia kama "kimshale".
Hata hivyo baadae jamaa alikuja kuokoka na kuwa muumini wa kanisa la Mashaidi wa Yehova.
nadhani mafua yao ni makali sana, na hali ya hewa yao huko ile ya baridi.....lakini au kuna tofauti ya mafua yetu na flu yaoWatu wanakufa na mafua tu, wakati wengine huku yakikupata unayapenga njiani huku ukikimbia kuwahi mzigoni, wote binadamu ila tupo tofauti sana. R.I.P.
Ha ha ha ha ha mmmh hii habari ya msiba ujue lolWatu wanakufa na mafua tu, wakati wengine huku yakikupata unayapenga njiani huku ukikimbia kuwahi mzigoni, wote binadamu ila tupo tofauti sana. R.I.P.
Yaah!baridi inawatesa sana duh ila nywele ngumu hizi kiboko tunatembea na magonjwa ikipigwa ambush hapa twende tukapimwe kati ya 100 labda 5 ndo wataruhusiwa wengine wote tunapewa vitanda kama sio ICU kabisa.nadhani mafua yao ni makali sana, na hali ya hewa yao huko ile ya baridi.....lakini au kuna tofauti ya mafua yetu na flu yao
Unayapenga njiani, unayapangusa kwa mikono yote na bado ukikutana na watu unasalimiana nao kwa kushikana mikono. Na wakati wa kuagana mtashikana tena mikono na kuitikisa mara kadhaa kabla ya kila mmoja kuondoka.Watu wanakufa na mafua tu, wakati wengine huku yakikupata unayapenga njiani huku ukikimbia kuwahi mzigoni, wote binadamu ila tupo tofauti sana. R.I.P.