P Prince Rodgers Member Joined Mar 5, 2017 Posts 22 Reaction score 31 May 12, 2017 #1 Kwa wale wataalam wa IT hebu nielewesheni kuhusu sababu kubwa inayofanya kupotea kwa signal na hasa kwa hizi TV zinazotumia Satellite kama vile DSTV wakati huu wa mvua.Kinachotokea ni nini hasa kitaalam?Na je,tatizo hili halina solution?
Kwa wale wataalam wa IT hebu nielewesheni kuhusu sababu kubwa inayofanya kupotea kwa signal na hasa kwa hizi TV zinazotumia Satellite kama vile DSTV wakati huu wa mvua.Kinachotokea ni nini hasa kitaalam?Na je,tatizo hili halina solution?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 May 12, 2017 #2 NGOJA WAJEEEEEE