Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
CCM imeshindwa ku supply maji, siamini kama waziri wa maji sio mzigo
Happy new year bro.Ni mzigo tena mzito sana!
Safi kbs chama changu kimetimiza ilani yake ipasavyo naona hiki ndo kisima cha kisasa
Hiki sio kisima cha kisasa ni KISIMI CHA KISIASA
Happy new year bro.
Kwanini hajashinikizwa kujiuzulu?? Hivi haoni kuwa kuna watu wengi wanakufa na kuugua magonjwa yanayosababishwa na matumizi ya maji yasiyo safi na salama?