Wale wa kanda ya ziwa watakuelewaTushazoea kula mapanki bana hiyo minofu hatuna utamaduni nayo... Haujawahi sikia wanasema maneno haya,,, utamu wa samaki ni kichwa na utamu wa nyama mfupa.... Sasa kwa akili ya haraka haraka unaacha mnofu wa nyama unakimbilia mfupa kweli?
Yaani we acha tu sasa kila mtu na acacia lakini ukiangalia kwa makini hata tukipewa makontena yote waliyozuia haifiki hata 1/10000 ya dhahabu tuliyoibiwa tangu 1997.Tushazoea kula mapanki bana hiyo minofu hatuna utamaduni nayo... Haujawahi sikia wanasema maneno haya,,, utamu wa samaki ni kichwa na utamu wa nyama mfupa.... Sasa kwa akili ya haraka haraka unaacha mnofu wa nyama unakimbilia mfupa kweli?
Ata hao accacia watatupima wakiona tumezubaa watatuzubaisha hapo hapo kwenye mchanga kwa kujifanya kufanya mazungumzo ili tusibumburuke juu ya dhahabu za mgodini.. Yaani dah sijui ata mtu usemeje ili watu waelewe lakini ndio hivyo watu hutofautiana ktk mengiYaani we acha tu sasa kila mtu na acacia lakini ukiangalia kwa makini hata tukipewa makontena yote waliyozuia haifiki hata 1/10000 ya dhahabu tuliyoibiwa tangu 1997.
Naona aibu sana,Hivi mleta mada huoni aibu?
Huu sio mgodi ni bohari zinakofichwa huku nyie mkiachiwa mashimo na mchanga mgombanie.
Mgodi gani huo
naona umeamua kuleta mapicha ya mitandaoni...
Great Depression 2 Weekly Market News by kliguy38: October 2013
Swali la msingi ni kama kweli kuna Kg 3. Serikali imelitilia hilo shaka na imeamua kuchunguza. Matokeo tunaambiwa ni mara 10 zaidi. Msema kweli ni nani? Na tutajuaje? Pili hizo njia nyingine za upotevu nazo zinastahili kuchunguzwa na kudhibitiwa. Wote serikali na wapinzani wake kwa ujumla wanakubali kwamba tunapigwa malumbano yako kwenye mikakati ya kututoa hapo. Kwa uelewa wangu mdogo mpaka reporti ya pili itoke ndiyo tutajua serikali imeshauriwa ichukue hatua gani. Hilo lakini halizuii serikali kupewa tahadhari (kwa kuombwa au kukemewa), na serikali sikivu inatakiwa isikilize na iamue. Mwisho wa siku kupitia serikali watanzania watabeba msalaba wao (iwe zigo au uokovu).Hivi sisi ni wa kukimbizana na kontena la mchanga wenye kilo 3 za dhahabu? tena kwa mrahaba wa 4% kweli?
Haiingii akilini rais anaacha kushughulikia dhahabu iliyo tayari (parked) migodini anaunda tume kwa mabilioni ya shilingi kuchunguza kilo 3 kwenye kontena kweli?
Nani katuroga Watanzania, inauma sana.
View attachment 518532
Hata ungekuwa nusu kilo ni Mali yetu .Nilazima tuupiganie.Hivi sisi ni wa kukimbizana na kontena la mchanga wenye kilo 3 za dhahabu? tena kwa mrahaba wa 4% kweli?
Haiingii akilini rais anaacha kushughulikia dhahabu iliyo tayari (parked) migodini anaunda tume kwa mabilioni ya shilingi kuchunguza kilo 3 kwenye kontena kweli?
Nani katuroga Watanzania, inauma sana.
View attachment 518532
Sawa gharama ya makinikia yote in total ni kiasi gani ukilinganisha na pure gold inayosafirishwa kutoka migodini.Sio dhahabu tu, kuna madini 38 yenye thamani kubwa kuliko dhahabu, fungua macho sio makalio.
hapo naona tunachanganya mambo mawili.Huu sio mgodi ni bohari zinakofichwa huku nyie mkiachiwa mashimo na mchanga mgombanie.
Haki ndo zinapiganiwa na watu wenye akili kama zako? Kweli?Hata ungekuwa nusu kilo ni Mali yetu .Nilazima tuupiganie.
Kwa wenye akili tunajua huu ndio mwanzo mzuri wakuanza kupigania haki zetu.
Mmepewa mfupa(makinikia) mgombanie huku wenzenu wanasafirisha nyama, hiyo ndiyo akili yenu, sisi wengine tunasema hapana.Hata ungekuwa nusu kilo ni Mali yetu .Nilazima tuupiganie.
Kwa wenye akili tunajua huu ndio mwanzo mzuri wakuanza kupigania haki zetu.
Hizo akili za kuwatetea eti hadi wapate faida ndizo hatuzitaki. Ndio maana tunataka waliokubaliana 4% ikiwezekana wanyongwe, haiwezekani wachimbe zaidi ya miaka 17 watuambie bado wanapata hasara, ningekuwa Rais leo ningewaambia waondoke na makinikia yao.Pia ukumbuke sio Wawekezaji tu hata wewe mtanzania ukiwa na mgodi sheria hiyohiyo utalipia 4% hadi upate faida.
Usikurupuke soma mada inasemaje it is a comparison topic, kati ya 5% makinikia na 95% dhahabu iliyoko migodini kipi utaanza ku dili nacho.Mtoa mada pima akili yako kwanza, yangekuwa na thamani ndogo wasingesafirisha, fikiria cost za usafirushaji halafu cost za kufanya refinal unafikiria wao wajinga? Hizo ni mbinu zao za kutorosha madini yetu