Poor Tanzania, tunahangaika na mchanga wa kilo 3

Hivi sisi ni wa kukimbizana na kontena la mchanga wenye kilo 3 za dhahabu? tena kwa mrahaba wa 4% kweli?

Haiingii akilini rais anaacha kushughulikia dhahabu iliyo tayari (parked) migodini anaunda tume kwa mabilioni ya shilingi kuchunguza kilo 3 kwenye kontena kweli?

Nani katuroga Watanzania, inauma sana.

View attachment 518532
Kwahiyo unatakaje wewe Lichadema? Wewe ni Lichadema tu. Wajinga jinga kama wewe wako Chadema. Mmrogwa na Kingunge Ngombare Mwiru.
 
Hizo akili za kuwatetea eti hadi wapate faida ndizo hatuzitaki. Ndio maana tunataka waliokubaliana 4% ikiwezekana wanyongwe, haiwezekani wachimbe zaidi ya miaka 17 watuambie bado wanapata hasara, ningekuwa Rais leo ningewaambia waondoke na makinikia yao.
Ndiyo maana wewe siyo Rais na Kamwe hautakuwa Rais.
 
Hizo akili za kuwatetea eti hadi wapate faida ndizo hatuzitaki. Ndio maana tunataka waliokubaliana 4% ikiwezekana wanyongwe, haiwezekani wachimbe zaidi ya miaka 17 watuambie bado wanapata hasara, ningekuwa Rais leo ningewaambia waondoke na makinikia yao.
Jibu hoja, kwahiyo kama wamechimba miaka 17 nyuma ndiyo tuendelee kuwaachia wasafirishe nje?
 
Sio dhahabu tu, kuna madini 38 yenye thamani kubwa kuliko dhahabu, fungua macho sio makalio.
Tatizo wabongo hawapendi kusoma,na hata wakisoma hawaelewi.wanasikiliza lakini hawaelewi.Sijui tuwasaidiaje!
Kwa mujibu wa mkataba tulioingia na wawekezaji,madini mengine yanayopatikana ni mali ya mwekezaji.
 
Jibu hoja, kwahiyo kama wamechimba miaka 17 nyuma ndiyo tuendelee kuwaachia wasafirishe nje?
Kuzuia train siyo kukaa mbele yake mkuu, sakata hili halikutakiwa kukurupuka ni la kisheria.
 
Hivi sisi ni wa kukimbizana na kontena la mchanga wenye kilo 3 za dhahabu? tena kwa mrahaba wa 4% kweli?

Haiingii akilini rais anaacha kushughulikia dhahabu iliyo tayari (parked) migodini anaunda tume kwa mabilioni ya shilingi kuchunguza kilo 3 kwenye kontena kweli?

Nani katuroga Watanzania, inauma sana.

View attachment 518532
Bawacha hivi humzima? huu mgodi wa wapi? Haya mapicha ya mitandaoni yanini?
 
Hata wewe pia na vibaraka wenzako naona mnahangaika na kg 3 hizo hizo.
Kwani baada ya ile ripoti mh. Rais aliendelea na suala hilo lipo pending mpaka ripot ya pili..?
Naona Magu anawawekea CD halafu mnacheza huku mkiruka na kukanyagana.
 
Mliozoea makanikia mkionyeshwa real gold mnasema siyo yenu, hiyo ndiyo dhahabu yetu inayoibwa na kupelekwa ulaya, hapo ni UK nchi isiyo hata na mgodi mmoja sisi wenye migodi tunaambulia mchanga wa kilo 3 halafu tunadai tuna viongozi.
 
Swali la msingi ni kama kweli kuna Kg 3. Serikali imelitilia hilo shaka na imeamua kuchunguza. Matokeo tunaambiwa ni mara 10 zaidi. Msema kweli ni nani? Na tutajuaje? Pili hizo njia nyingine za upotevu nazo zinastahili kuchunguzwa na kudhibitiwa. Wote serikali na wapinzani wake kwa ujumla wanakubali kwamba tunapigwa malumbano yako kwenye mikakati ya kututoa hapo. Kwa uelewa wangu mdogo mpaka reporti ya pili itoke ndiyo tutajua serikali imeshauriwa ichukue hatua gani. Hilo lakini halizuii serikali kupewa tahadhari (kwa kuombwa au kukemewa), na serikali sikivu inatakiwa isikilize na iamue. Mwisho wa siku kupitia serikali watanzania watabeba msalaba wao (iwe zigo au uokovu).
Ni sawa tunachotaka kujua ni kudanganywa kilichomo au kipo sawa haya mengine yatakuja baada ya kuona ukweli. Ni gram 4 au 10 ikijulikana ndo ufukuaji makaburi utapata pa kuanzia
 
mkuu tuambie umefikiaje suluhisho kuwa kontena moja la mchanga lina hizo kilo tatu?
 
Hata wewe pia na vibaraka wenzako naona mnahangaika na kg 3 hizo hizo.
Kwani baada ya ile ripoti mh. Rais aliendelea na suala hilo lipo pending mpaka ripot ya pili..?
Naona Magu anawawekea CD halafu mnacheza huku mkiruka na kukanyagana.
Vibaraka muwalete nyie muwakabidhi migodi leo mnaanza kulialia, halafu eti mnataka wapinzani wawasaidie kulia,

sisi wengine tunachofanya ni kuongeza pilipili machoni ili mlie zaidi.
 
mkuu tuambie umefikiaje suluhisho kuwa kontena moja la mchanga lina hizo kilo tatu?
Waulize TMAA,

baada ya kuwatumia TMAA kuiba wakishirikiana na wezi leo mnataka kuwatoa kafara.
 
Hivi sisi ni wa kukimbizana na kontena la mchanga wenye kilo 3 za dhahabu? tena kwa mrahaba wa 4% kweli?

Haiingii akilini rais anaacha kushughulikia dhahabu iliyo tayari (parked) migodini anaunda tume kwa mabilioni ya shilingi kuchunguza kilo 3 kwenye kontena kweli?

Nani katuroga Watanzania, inauma sana.

View attachment 518532
Naona una lalamika tu.
 
Slow but sure. Hata mimba ilianza kwa kutongozana na usumbufu wa hapa na pale halafu ndo manii na yai vikahusika.
Calm down. Get back....
 
Vibaraka muwalete nyie muwakabidhi migodi leo mnaanza kulialia, halafu eti mnataka wapinzani wawasaidie kulia,

sisi wengine tunachofanya ni kuongeza pilipili machoni ili mlie zaidi.
Wewe mpinzani wa nin..?
Katika maisha mim nipo peke yangu sasa unaposema sie sijui mim na nani..?
Endelea kucheza CD ya Magu mdundo ukiisha anaweka nyingine muendelee kuruka na kukanyagana.
 
Back
Top Bottom