Prime Dynamics
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 551
- 251
You can say that again...Phone rudeness even to strangers is a vice to be avoided. Even if it is a wrong number, it does not mean that one should be rude.[/FONT]
Mkuu mtu mwingine anakupigia simu halafu anakuuliza "Wee nani" wakati yeye ndio kakupigia simu inapashwa ajitambulishe kwanza
But the way he's asking you its like he's demanding and its not in the form of requestMimi nadhani ukipokea simu kama hiyo, taja jina lako moja, halafu nae pia muulize "nani mwenzangu?" you never know anataka kwambia nini may be ndugu yako anaitwa kwenye interview IKULU!
Mkuu mtu mwingine anakupigia simu halafu anakuuliza "Wee nani" wakati yeye ndio kakupigia simu inapashwa ajitambulishe kwanza
You are watching a live promotion, take for instance Vodacom promotion, a representative announces that X had won 10m prize.
1st phone rings 10 times but the owner doesnt pick it up. (Tayari huyo kakosa) A second draw is taken, the phone rings and one picks it. Then Vodacom person asks hello habari whats your name? reply from a subscriber X kwani wewe unamtaka nani?" after a few seconds he hangs up. Someone just misses that 10m just like that! You just feel like; why doesnt this guy call my number jamaniiii! Duh! You may feel like just flying over to this man and hit his head. The next subscriber is called, and the ringing tone finds him in a very noisy place like a bar in fact. Where are you? his asked. Then he replies What do you want? the man replies rudely. Luckily, Vodacom representative quickly tells him; am calling from Vodacom, otherwise he (subscriber) was on the brink of hanging up on him. Many of the others have been more polite, most probably because the phone call found them watching the live draw.
Becoming a phone user is not just about buying a handset and a SIM card. A phone is a tool for social interaction, ensuring good telephone behavior is part of being civilized. Phone rudeness even to strangers is a vice to be avoided. Even if it is a wrong number, it does not mean that one should be rude.
hee! Mkuu hako si kautaratibu ka customer care. Unapiga wewe anaanza yeye kujitambulisha.Mimi nadhani ukipokea simu kama hiyo, taja jina lako moja, halafu nae pia muulize "nani mwenzangu?"
hee! Mkuu hako si kautaratibu ka customer care. Unapiga wewe anaanza yeye kujitambulisha.
Wenye tabia hiyo waache. Ukipiga simu anza kujitambulisha.
Mkuu unaweza kuta hiyo ndio interview ya kwanza, kuonyesha kama unaweza kufanya kazi under pressure!
Yaani nilitaka anzisha thread kama hii
au mtu ana shida na wewe anakuja ofisini mwako...
Ghafla simu yake inaita badala ya kuinuka na kwenda ongelea pembeni
anaanza kubwabwaja utumbo wake....
Au mwingine simu yake ina mlio wa kukera...hapokei,ukimuuliza kwa nini hupokei
eti ah huyu ananisumbua sana..huku nyinyi wengine mnakereka...
Kero juu ya kero
Mkuu mtu mwingine anakupigia simu halafu anakuuliza "Wee nani" wakati yeye ndio kakupigia simu inapashwa ajitambulishe kwanza
Aisee hii kitu huwa inakera kweli kweliWabongo wengi hawana manners..
Mtu yupo kwenye daladala anapokea simu anaanza kumwaga mambo yake ya binafsi....
Tuko kwangu mimi its vice versa wewe ndio umepiga simu jitambulishe kwanza instead of asking me "Weee nani" ukishindwa basi hata sema "Samahani naongea na Mr X or Miss X" i really hate mtu anapopiga simu halafu unaanza kuniuliza 'Wee nani" tena kwa ku-demandMi kidogo niko tofauti aisee, na nakubaliana na mtoa hoja. kwa kawaida namba nisiyoifahamu ikipiga kwenye sim yangu sipokei haloo... bali napokea ...Tuko hapa, ..nani mwenzangu? Then yeye anajitambulisha...