Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Mkuu hiyo ni ofa ya siku nne tu[emoji13] [emoji13]Leo nimerudi zangu home baada ya kukaa wiki nzima mashambani huko,nimewasha king'amuzi nimekuta mabadiliko makubwa karibia channel kibao za nje kama BET,Mtvbase,fox sports & entertainment,Mbc action etv africa etc zinaoneka kwa kifurushi cha 15,000.kipindi cha nyuma ilikua mpk ulipie 20,000.
kiroho safi kabisa naupongeza uongozi mzima wa Azam tv kwa maboresho haya ila yasiwe ya zima moto kwa ajili ya mwezi huu tu wa ramadhani nashauri iwe endelevu kwani kwa usawa huu 15,000 parefu sana haiendani na zile channel za kishamba mlizokua mnatupatia.
ya kweli haya?Mkuu hiyo ni ofa ya siku nne tu[emoji13] [emoji13]
Daah ila huyo mnyama kweli profile yako hatari sana,anapiga ngumi za kufa mtu,RiP Kimbo.....Mkuu hiyo ni ofa ya siku nne tu[emoji13] [emoji13]
Mkuu hiyo ni ofa ya siku nne tu[emoji13] [emoji13]
Mkuu hiyo ni ofa ya siku nne tu[emoji13] [emoji13]
Fafanua bosi...Wamefanya machaguzi mazuri ya channels, ila tatizo vipindi vyake ni vya zamani kwenye hizo channels walizo ongeza kwenye BET, NatGeo Wild
Show za zamani mno, hapo ndio AzamTV wanapo kosea
Wamefanya machaguzi mazuri ya channels, ila tatizo vipindi vyake ni vya zamani kwenye hizo channels walizo ongeza kwenye BET, NatGeo Wild
Show za zamani mno, hapo ndio AzamTV wanapo kosea
Fafanua bosi...
Mkuu kwenye dstv hivyo vipindi vyake ni vipya?
kwa io azam ndo wanarusha hivyo vipindi au station husika au inakuaje kuaje? nieleweshe tena mkuu usichoke...Show ambazo mtu kama ulitazama dstv mwaka juzi unaziona leo hasa BET kama hiyo Real Husband of Hollywood episode zake ni za kitambo sana, pia National Geographic Channel show ambazo ni mpya ni za 2014...
Na AzamTV sio channel hizo tu wana channel kibao ambazo vipindi vyake ni vya zamani uliangalia mfurulizo utaona kila baada ya miezi kama minne show zinaanza kujirudia through out mwaka mzima... Fineliving ndio usiseme
kwa io azam ndo wanarusha hivyo vipindi au station husika au inakuaje kuaje? nieleweshe tena mkuu usichoke...
Tatizo lao kule kwenye sinema zetu wanatuwekea sinema za 2005 kurudi nyuma,sujui wanawaona wateja wao ni ma poyoyo!
Kama mnapita humu nyie azam tv,mimi nawaaambia tena kwa sauti msituwekee filamu za zamani kama hamtaki ondoeni hiyo chaneli,