PONGEZI YA MIAKA MIWILI MADARAKANI

knowledge quench

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2017
Posts
227
Reaction score
107
HONGERA SANA MHESHIMIWA MPENDWA RAIS WETU DR. JOHN MAGUFULI.
AHSANTE SANA KWAKUTUJALI WATANZANIA WA ITIKADI ZOTE.
UBARIKIWE SANA KWA KAZI NZURI SANA NA MWENYE-ENZI-MUNGU-ALLAH-MLEZI AKUJAALIE KUFIKA KWENYE MALENGO YAKO YA TANZANIA YA MIDDLE-CLASS, ENYE WASOMI NA VIWANDA NA VIONGOZI WAADILIFU.
AAMIYN.
TANZANIA FIRST THANK YOU OUR BELOVED AND HONOURED MR. PRESIDENT DR. MAGUFULI. LONG LIVE OUR PRESIDENT. AAMIYN
 
Lissu is coming soon

miaka miwili hiyo mauwaji na kuteka watu ndio kumeshamili watanzania wanalia wanafunzi vyuoni hakuna tena pesa za kujikim wakimaliza hakuna kazi.mshahara mpa leo ndani ya miaka miwili wafanyakazi wanalia



Pumba tupu


Swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…