UDSM fani ambazo ni stable over years ni Law, Political science na History. Kwa fani hizo UDSM bado ni bora kama sio the best. Ila katika fani nyingine UDSM imebaki jina tu. I say this as an alumni of the university. Kuna vyuo vinafanya vizuri sana kwenye fani nyingine kuliko UDSM and this is well reflected in the labour market.