Pongezi UDSM kwa udahili makini.

Pongezi UDSM kwa udahili makini.

UDSM fani ambazo ni stable over years ni Law, Political science na History. Kwa fani hizo UDSM bado ni bora kama sio the best. Ila katika fani nyingine UDSM imebaki jina tu. I say this as an alumni of the university. Kuna vyuo vinafanya vizuri sana kwenye fani nyingine kuliko UDSM and this is well reflected in the labour market.
Kwahiyo wewe ulisoma fani zoote afu ukajua tu law,pspa na history ndo ziko stable kuliko nyingine?
 
You made me smile. Time is the best truth teller. Just keep your dream alive. Time will speak and prove one of us wrong
teh,wap wew mim nawew hatufanani,wala hujui kam mim nasoma chuo gan au sisomi pia ww sikufahamu mkuu.so dont mind,just continue with ur bizness na kam upo chuo piga shule mkuu achana na hizi habar za kutafta ushindani katik interviews na ajira
[HASHTAG]#usiforce[/HASHTAG] tufanane
 
Back
Top Bottom