FortJeasus
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 604
- 405
..kweli KabisaUdsm imebaki jina tu!!! Wahitimu wako hovyo sanaa
Maneno hayo hata kwenye lugha yapoUdsm imebaki jina tu!!! Wahitimu wako hovyo sanaa
Udsm imebaki jina tu!!! Wahitimu wako hovyo sanaa
..kweli Kabisa[/QUOTE
Ngwini utawajua tuUDSM fani ambazo ni stable over years ni Law, Political science na History. Kwa fani hizo UDSM bado ni bora kama sio the best. Ila katika fani nyingine UDSM imebaki jina tu. I say this as an alumni of the university. Kuna vyuo vinafanya vizuri sana kwenye fani nyingine kuliko UDSM and this is well reflected in the labour market.
sio kweli mkuu,compared to others..kweli Kabisa
acha uongo,mkuu kwani Hill kuna courses ngapi na umezifatilia zote,au unaongea tu yani katika fani 70s unatak unambie izo 3 tu ndo wako competent?,UDSM fani ambazo ni stable over years ni Law, Political science na History. Kwa fani hizo UDSM bado ni bora kama sio the best. Ila katika fani nyingine UDSM imebaki jina tu. I say this as an alumni of the university. Kuna vyuo vinafanya vizuri sana kwenye fani nyingine kuliko UDSM and this is well reflected in the labour market.
Kama bado uko hapo tunakungoja kwenye labour market. Pride that you have over the institution will dissolve once you get out of the placeacha uongo,mkuu kwani Hill kuna courses ngapi na umezifatilia zote,au unaongea tu yani katika fani 70s unatak unambie izo 3 tu ndo wako competent?,
Usiforce tufanane.
mimi kam kijana sifikirii kuja kucompete katika ajira na wengne but nafocus kuitumia ipasavyo elimu yangu nayopata.sasa kma wew unangalia wanafunz au unafkiria kuhus kuajiriwa kwamb tukakutane huko,umenikosa mkuu.think and grow richKama bado uko hapo tunakungoja kwenye labour market. Pride that you have over the institution will dissolve once you get out of the place
Ujue huyo amekosa!Mawazo yako yamesikika,yameheshimiwa lakini yanapuuzwa.
You made me smile. Time is the best truth teller. Just keep your dream alive. Time will speak and prove one of us wrongmimi kam kijana sifikirii kuja kucompete katika ajira na wengne but nafocus kuitumia ipasavyo elimu yangu nayopata.sasa kma wew unangalia wanafunz au unafkiria kuhus kuajiriwa kwamb tukakutane huko,umenikosa mkuu.think and grow rich
[HASHTAG]#usiforce[/HASHTAG] tufanane
chamoto gani broIsikupe shida wanaoenda cha moto watakipata