FortJeasus
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 604
- 405
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)kinaendelea kujitenga kiubora,na Taasisi na Vyuo vingine vya Elimu ya Juu nchini,kwa uamuzi wake wa kurejea utamaduni wake zamani kudahiliwanafunzi wenye ufaulu wa juu katika matokeo yao.
Kwa mwaka wa masomo 2016/2017,walioweza kupata udahili Chuoni hapo wana kiwango kizuri cha ufaulu,kinachowawezesha kumudu masomo ya ngazi husika,kiwango cha chini cha ufualu kikiwa pointi 5,juu kidogo ya viwango vya chini vya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania(TCU),ambavyo ni pointi 4 kwa masomo mawili ya Kidato cha Sita.
Ni matarajio,kuwa wanafunzi husika wataitumia fursa ya kusoma katika Chuo kikongwe kitaifa,kikanda na kimataifa kwa kutimiza malengo yao binafsi na kuchangia ustawi wa taifa kwa upana wake.