Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Habari wanajamvi?kwa muda nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbali mbali kwenye jukwaa hili,kuna wajamaa walikua wakitoa trick nyingi sana toka smatskills.com.kwa wiki kadhaa walikuwa hawapatikani hewani,jana katoka pita pita zangu nikaona wamerudi hewani wakiwa na muonekano mpya tena wa kupendeza kutoka blog hadi kuwa website.
kiroho safi wajamaa wanastahili pongezi sana kwa wanajitahidi,kama huna kiroho cha korosho hebu pitia hapa smatskills.com ujionee.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂😀😀😀😀
karibuni kwa mchango,unawapa nyota ngapi kwa hatua hiyo?