PONGEZI NYINGI KWA NECTA KWA KUFANYIA KAZI MAONI YANGU KUHUSU UDANGANYIFU WA MITIHANI KWA WILAYA YA TUNDURU,hii italeta fundisho ,wanafunzi watasoma kujiandaa na mitihani na si kwa njia za mkato kama hapo awali,wasimamizi na wakuu wa shule pia pokeeni haya mabadiliko acheni mazoea.