Salaam sana.wakuu napenda kutoa pongez kwa uongozi wa chuo kikuu ruaha(rucu)cha iringa kwa kuzuia wanawake kuvaa nguo za kiume(suruali)kwa mazingira ya chuo muda wote(usiku na mchana).kilichonifurahisha n kujua kwamba angalau ile mitego inayotokana na nguo hizi zinazoonesha zawadi ya kudumu(jiongeze) na pia kimaadili ya kiafrika na hata dini zinakataza(wanadini wanalifaham hili).naomba taasisi zote ziunge mkono hili kuepuka kuchekwa kwa kisingizio eti mwanaume kavaa suruali ya kike(naamin si kweli).ni hayo tu wakuu katika jf