Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo ( chadema ) mh .free man mbowe kwa kuchaguliwa tena kukiongoza chama kwa kipindi kingine cha miaka mitano .
Kuchaguliwa kwako kunatokana na imani waliokuwa nayo. Wanachama wa chadema kwani juhudi zako ktk kujenga misingi imara ya chama kutoa fursa kwa kila mwanachama kuchangia / kuimarisha / na kuendesha chama.
Chini ya uongozi wako umeshirikiana na viongozi wenzako kuipandisha chama kutoka chama cha tano mwaka 2000 mpaka chama cha pili mwaka 2010 .Sisi kama wanachama tumepata nafasi nzuri ya kukichangia chama kwa mawazo mbalimbali na ni umoja wa mawazo yetu / matendo yetu sote kila mmoja kwa nafasi yake .kwa uwezo wake ndiko kumesaidia chama kwenda mbele.
Chini ya uongozi wako chadema imekubalika kama chama chenye demokrasia na haki za kila mwanachama ziliheshimika .
Haki ya maoni binafsi na kuyatetea ni haki ya msingi inayochangia ktk kutofautisha chadema na vyama vingine.
Chini ya uongozi wako tunapaswa kujivunia kwa kutoa elimu ya uraia ili kutoa fursa kwa watanzania kuijenga upya nchi yao kupitia chadema.
Kwani dhumuni moja wapo ya chadema kwa mujibu wa katiba ni kuendeleza na kudumisha demokrasia ktk mfumo wa vyama vingi vya siasa kukenga utamaduni wa demokrasia ktk jamii kutambua haki za wengi ktk maamuzi na pia kutambua haki za wachache kusikilizwa .kuheshimiwa na kulindwa .
Kuchaguliwa kwako tena ni kutokana na ujasiri wako wa kufuata misingi ya chadema ambayo ndio nguzo kuu ktk kusimamia na kukijenga chama kyk uimara wake .
Kama sehemu ya wapigania mabadiliko tunakupongez a tena kwa kuvuka mitihani ambayo chama kimeyapitia ila kwa ujasiri wako tumeyavuka kwani mitihani ni silaha kubwa kwa chama chetu ktk juhudi zetu za kuchukua uongozi wa taifa letu.
Misukosuko ya hapa na pale inayosababishwa na wafuasi wa watu badala ya wafuasi wa misingi ya chama haitakwisha .
Hata hivyo chini ya uongozi wako kipimo cha uongozi ni namna kiongozi anavyoyashughulikia misukosuko na ndiyo maana tumekuamini tena kukupa uongozi kwani tunajua / tunafahamu kuwa wewe ndio mwenye uwezo kwa wakati huu wa kutufikisha tunapotarajia.
Mwenyeezi mungu akulinde na akuzidishie hekima na maarifa