Hivi majuzi mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya kichina hapa Tanzania aliuawa na majambazi na kuporwa kiasi fulani cha fedha! Askari polisi walifanya msako na baada ya siku chache wakafanikiwa kuwatia mbaroni watu wanaodhaniwa kufanya mauaji hayo! Pongezi kwa jeshi la polisi!
swali langu: Je, ni mara ngapi wazawa wamepatwa na mikasa kama hii na watuhumiwa wakakamatwa? Achilia mbali ule ujambazi unaofanywa kwa watu wa kawida, hapa tuseme kwa taasisi za kifedha kama mabenki!
Je, tuseme askari ni wazembe au wageni ndiyo huwa wanaathirika sana na haya mtukio?
kumbe bado hawajathibitishwaHivi majuzi mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya kichina hapa Tanzania aliuawa na majambazi na kuporwa kiasi fulani cha fedha! Askari polisi walifanya msako na baada ya siku chache wakafanikiwa kuwatia mbaroni watu wanaodhaniwa kufanya mauaji hayo! Pongezi kwa jeshi la polisi!
swali langu: Je, ni mara ngapi wazawa wamepatwa na mikasa kama hii na watuhumiwa wakakamatwa? Achilia mbali ule ujambazi unaofanywa kwa watu wa kawida, hapa tuseme kwa taasisi za kifedha kama mabenki!
Je, tuseme askari ni wazembe au wageni ndiyo huwa wanaathirika sana na haya mtukio?
Sasa mbona title yako haiendani na mwili wa habari yako. Kama ulikuwa na nia ya kuwaponda ungesema tu '' Acheni upendeleo jeshi la polisi''
kumbe bado hawajathibitishwa
Asante mkuu ila nimeona niwapongeze kwanza kwa kufanikiwa kuwakamata hao wahalifu halafu ndo niwaulize haya maswali! Labda ulikuwa ni uzembe na sasa hv wamejirekebisha!
Lakini mbona kunawatuhumiwa wengi magerezani na wengine wako nje kwa dhamana,
kwani wote waliwafanyia uhalifu wageni?
Tuwe fair, Police wametekeleza wajibu wao