N Noboka JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 1,246 Reaction score 626 Jun 25, 2013 #41 Naunga mkono hoja 100%, ila mleta uzi subiri wana wa Nape na Mwigullu watakavyokushambulia hapa, ingawa ukweli unajidhihirisha wenyewe, ningekuwa na uwezo ningesogeza siku ili 2015 ifike mapema ili liwalo na liwe basi!
Naunga mkono hoja 100%, ila mleta uzi subiri wana wa Nape na Mwigullu watakavyokushambulia hapa, ingawa ukweli unajidhihirisha wenyewe, ningekuwa na uwezo ningesogeza siku ili 2015 ifike mapema ili liwalo na liwe basi!
K kirango Member Joined May 24, 2013 Posts 63 Reaction score 4 Jun 25, 2013 #42 Najiuliza wanakamata pembe za ndovu kila kukicha je,mbona wanaowinda hawakamatwi? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Najiuliza wanakamata pembe za ndovu kila kukicha je,mbona wanaowinda hawakamatwi? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
M mateytey Member Joined Dec 21, 2012 Posts 52 Reaction score 12 Jun 25, 2013 #43 Saa ya ukombozi imefika nguvu zielekezwe kuwahamasisha watu wajiandikishe kupiga kura na wapige kura ya ukombozi wa nchi yetu.
Saa ya ukombozi imefika nguvu zielekezwe kuwahamasisha watu wajiandikishe kupiga kura na wapige kura ya ukombozi wa nchi yetu.
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,322 Reaction score 9,771 Jun 25, 2013 #44 M4C for life