ashy da don
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 615
- 671
- Thread starter
-
- #21
mkuu mimi hiyo imeniathiri hadi sasa nilipo nawachukia makondakta wa daladala! nawachukia kutoka moyoni.... walisababisha nlichelewa sana vipindi shuleni!!
2009 mkuu form four
Hahaa mkuu kwa hyo jamaa wanajikosha kwa ajili ya uchaguzi..
Jina lako tu linaonesha bado ni mtoto wa kiume na unavalia suruali chini ya makalio!
Hahaa mkuu kwa hyo jamaa wanajikosha kwa ajili ya uchaguzi..
Mkuu wameanza kuwa waungwana. Na walikua hawatanii kabisa. Mkononi wameshika bunduki kila dala dala linasimamishwa na kupangia wanafunzi.
Ni kweli kabisa unachosema.Ni kweli mkuu. Ustaarabu kwenye madaladala ni sifuri kabisa. Imetokana na kuwa wengi wanaopanda wana tabia mbalimabli na ukichanganya na kazi tunazofanya hzi huku mjini.. Tupo kama machizi vile hakuna hata anayejali ustaarabu.
2009 mkuu form four
Bravo!! Wenzetu wa Nairobi hii kitu ipo toka zamani. Ingekuwa vema sana ifanyike katika vituo vyote
Nilimaliza hapo 2009 mkuu.. Form four.