Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Nichukue fursa hii leo kuongea na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh Mwigulu Nchemba na Naibu wake Mh Hamad Masauni kuhusiana suala zima la ulinzi na usalama wa taifa letu.
Awali ya yote nichukue fursa hii kuwapongeza kwa kazi nzuri mnayofanya kuhakikisha nchi yetu inakuwa salama muda wote Mwenyezi Mungu Muumba wetu azidi kuwapa hekima busara na ujasiri kutenda kazi hii kwa haki na ueledi mkubwa bila kumwonea mtu, taasisi, kikundi cha watu au jumuiya ya watu kiujumla.
Mh Waziri pia nikushukuru kwa hatua uliyochukua kuwasaka wahalifu na mawakala wao waliyofanya uchochezi na hata kushirikiki ktk kuwauwa kwa askari wetu mahiri na wazalendo kule Mbande ni imani yangu kuwa wale mawakala wa magaidi waliyoshangilia kuwawa kwa askari watasakwa wote na kufikishwa ktk vyombo vya sheria nafahamu baadhi yao bado wapo wanaendelea kufurahia kuwawa kwa askari ukiwahitaji kwa majina wanaotumia ktk mitandao na majina yao halisi tutawapatia tunawafahamu.
Baada ya pongezi pia niwakumbushe kuwa suala la ulinzi wa Raia na mali zao iko kwenye ilani yetu ya uchaguzi ya 2015-2020 kwahiyo mnachokifanya mnatekeleza ilani ya uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi na km mkereketwa na mfurukutwa na kada wa ccm na mwananchi halisi wa Tanzania najivunia kuwaona mnavyochapa kazi kwa ueledi mkubwa.
Mh Waziri uhalifu la uhalifu uliyojitokeza sasa siyo uhalifu wa kawaida mh mbunge moja aliwai kunukuliwa bungeni kuwa vyama vya siasa vinavyoshindwa uchaguzi mara kwa mara ugeuka kuwa vyama kigaidi watu walichukulia km mzaha na kukejeli kauli ile lkn nataka nikuhakikshie ile kauli ni halisi nimesikia walle wahalifu waliyokamatwa vikindu wamekutwa na kadi ya chama kimoja cha upinzani hapa nchini taarifa za hawa wahalifu zilifahamika wamekuwa wakifadhiliwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini.
Nikushauri kufanya urafiki na askari wa chini kuanzia vyeo vya constebo hadi Asp watakusaidia sn ktk utendaji wako wanataarifa nyingi ambazo zimekaliwa na wakubwa wao kwakuwa wakubwa wanapuuzia taairifa zao nyingi, ujeuri, kiburi na majigambo unaona Mh Waziri kutoka kwa wanasiasa siyo bure wamejipanga na vikundi vya kihalifu, na pia ni vyema kuanzia sasa wageni wote waliyopo hapa nchini kutoka nchi jirani hasa Kenya wachunguzwe make kuna tetesi kuwa kuna wahalifu mashuhuri kutoka nchi hiyo wameingizwa nchini na wanasiasa kuja kuendesha mafunzo kwa wanachama wa vyama vya upinzani, kuendesha vikundi vya kihalifu kupambana serikali ili serikali iangaikie suala la usalama na kushindwa kuendesha mambo mengine, jambo lingine ni kutisha wawekezaji wanaotarajia kuja kuwekeza nchini hasa viwanda ili waanze kusema serikali imeshindwa kutekeleza ahadii ya viwanda, na hii wanashirikiana na wafanyabiashara wa nchi jirani wanahofia kupoteza soko la bidhaa zao baadaya Tanzania kuimarisha viwanda vyake.
Nimeamua kukuandikia Mh waziri baada ya Leo kutembelea Mbagala, Chanika na Mkuranga na pia baadaya kupata wasaha kuongea na baadhi ya askari wa kada ya chini.
Askari wetu wa kada ya chini wanafanyakazi nzuri sana lkn wanakosa watetezi naomba niwe Balozi wao kwako ili uweze kuwajali na kuwasikiliza.
Nina imani nanyie viongozi na vijana mahiri wa ccm hawa wanasiasa wanaotumia wahalifu kutekeleza ajenda zao mtawaangamiza wote. Mungu ibariki Tanzania