ghwibhibhwe unchujho, oo! sorry namaanisha umesau Mchujo kule kule kwa WanyakyusaKyindi, Kimpumu, Kangara, nk Hii ni kule kwa Wanyakyusa
hasa Mkoani Mara hiiiGongo
mhh upo mrembo?
wanipa huzuni,
nikununulie beer?
Kwenu wapi?
Nipo Mhe. Boss nimejaa tele
Huzuni ya nini tena?? Nimekufanyaje kwani?? Mi sipendi uhuzunike si unajua......Au kwa sababu nakunywa GONGO?? Beer iko poa pia nitashukuru.
ili usinywe gongo
nikuwekee oda ya kreti ngapi
za bia kwa wiki?????
ngoja nije pm huko...
chang'aa
Kule kaskazini magharibi mwa inji yetu hii tukufu ya tanzania jina limenitoka kidogo