mrKey Milly Member Joined Dec 15, 2016 Posts 29 Reaction score 24 Aug 20, 2025 #1 Kama Unapesa ndo kwanza Unajitafuta Achana Na Kunywa Pombe , Pombe Ni Starehe kama Starehe Nyingine........
Kama Unapesa ndo kwanza Unajitafuta Achana Na Kunywa Pombe , Pombe Ni Starehe kama Starehe Nyingine........
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,433 Reaction score 139,518 Aug 20, 2025 #2 Pombe na K ni vimaliza hela
Smartkahn JF-Expert Member Joined Jun 22, 2020 Posts 1,017 Reaction score 1,768 Aug 20, 2025 #3 Hakikisha unavitega uchumi imara ndio uanze kunywa pombe... Tofauti na hivyo utaanza kutafuta mchawi, matatizo ya kisaikolojia unawapelekea waganga na manabii.
Hakikisha unavitega uchumi imara ndio uanze kunywa pombe... Tofauti na hivyo utaanza kutafuta mchawi, matatizo ya kisaikolojia unawapelekea waganga na manabii.