Pombe zinapozidi kipimo balaa

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,469
733
Jamani pombe sio chai....

attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • IMG_4996.JPG
    IMG_4996.JPG
    98.1 KB · Views: 918
  • 12.JPG
    12.JPG
    91.9 KB · Views: 621
Huyo jamaa aliyeshika chupaa kibao ni noma. Nadhani atakua kashikishwa na washikaji wake.. Duuuu lakini pombe ikizidi ni nomaaaa!!!!!
 
hawa watakuwa walikuwa wanasheherekea ushindi wa kishindo wa mgombea flani hivi wa chama falni hiviiii
 
Jamani wale wadau wa pombe mpooooooo????
Waoneni wenzenu hapo sasa.
Nisamehe sana mama fulani maana najua wewe ni mtumiaji mzuri tu.:glasses-nerdy:
 
Wazee wa kilaji hebu nisaidieni inakuwaje hapa...has ahuyu jamaa mwenye michupa kibao?

Huyo wala hajalewa sana baada ya kupata usingizi washikaji wakamfanyia kituko hicho cha kumbebesha chupa na kupiga picha,baa nyingi za uswazi huwafanyia watu hivi.
 
Duh! mimi Bwaksi ni mtumiaji wa kilauri lakini huyu mwenzangu tooooooooooo MUCH!!! Anahitaji kusaidiwa, na sio kubezwa......:doh:
 
Huyo mwenye machupa meeengi nadhani anakwenda kuyatupa katoka nayo mbaali kapumzika kidogo kausingizi kakamchota. Kuna mahali anakwenda kuyauzaga hayo apate senti ya ze gongo lager.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom