Pombe za offer hizi!

Duh! wapo wanaosubiri... mwingine ndo anaandaliwa... Atawaweza hao wote peke yake?!...
 
Hahahaaa. . ingekuwa bongo huyo dada angepata cha mtema kuni mpaka ingewaka moto
 
hawa akina dada afadhali wanafanya mambo yao huko huko.wasije hapa kufunza dada zetu mambo mabaya kama hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…