Pombe yambong'olesha katikati ya barabara!

huyo aangalie giza likiingia watu watavunja duka asimlaumu mtu,na wasiwasi huo mlalo kuna anachokitaka huwenda anawtega watu toka lini mlevi akabongoia hivyo?huyo anataka tu wacha si ajabu walimshughulikia
 
..Dah kweli Tungi nomaaaa angekuwa uswazi huyu naona wangekomba malapulapu aliyovaa then wanamgongea yai viza kwenye ikulu ya ndogo!
 
Nkaribisheeeeeeeeeeeeee huyooooooo saskazoni jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…