Pombe ya Nyoka cobra nchini China

Naacha pombe ninywe mbege tuuuuuu!!!!!!!

Kuna mmoja aliachishwa mbege na mkewe baada ya kukuta vitoto vya pacha vya siku mbili wakati anaimalizia mbege yake... Alitapika na akawa akiiona mbege tu, anaanza kutapika
 
Kuna mmoja aliachishwa mbege na mkewe baada ya kukuta vitoto vya pacha vya siku mbili wakati anaimalizia mbege yake... Alitapika na akawa akiiona mbege tu, anaanza kutapika
Hilo ni tatizo la kiufundi kama vile watu wanavyokuta Nzi kwenye soda. Ila hii yenye TBS ya china halafu inatengenezwa kwa nyoka nasema hapana kabisa. tena sas hivi washanunua hii nchi nina imani walikuja nazo na wataanza kuichanganya kwenye viroba kabla ya ya kwenda SBL na TBL
 
Lazima niende Uchina nikajionee maajabu zaidi.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…