Duh Demu mkali sana sana, ukimpata kama huyu unakula kama unavyokula samaki
Bado mapema sana mkuu
Aayayayaayayyaaaa nisamehe Mpwa wangu, aaaagh nimeghafilika kidogo please. Tuko kwaresma
Mpwa kwaresma na haya mambo yanaendana kweli?
Ni kweli Mpwa haviendani na ndio maana nikasema nisamehewe nimeghafilika Sheikh wangu. Aaaaghh hizi picha nyingine hizi bhana ONA sasa nimeharibu saumu yangu
me bwana demu kama mnywaji stimu sijui zinapoteleaga wapi...hata bure sili!!!!!
Uko kama mimi aiseee, yaani demu mlevi au anayevuta sigara sijui hua namuonaje, mimi mwenyewe sinywi wala sivuti sasa nikumuona mtu tena mwanamke aahagahahaaa
Bongo hiyo! Kakumbatia Ndovu Malt.
Tena Kinondoni hiyo kama siyo Manyanya, Studio au B
Basi mi nilijua Counter ya Miller Bar Sinza
Tena Kinondoni hiyo kama siyo Manyanya, Studio au B
na mimi sinywi ndo maana.....ila honestly wanawake walevi ni easy go....
Acha kukariri mshamba wewe hapo vila mwanza ,kwa dem kama huyo choo lazima kiliwe tu.
Maybe counter nyingi zafanana