Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,549
si umenichelewesha weweBreakfast ishageuka lunch
Dah; nimemuonea huruma rais wetu wa kino mnyama; sema ubaya ye ndiye aliyeanza kumrushia jabu jamaa.
Leo yupo 40 40 tabata anatumbuiza
si umenichelewesha wewe
hahaha sijajuaKiingilio kinywaji au?
hahaha sijajua
Huyo wimbo utakuwa kama zile cover za nyimbo zake original ha ha haDah; nimemuonea huruma rais wetu wa kino mnyama; sema ubaya ye ndiye aliyeanza kumrushia jabu jamaa.
Leo yupo 40 40 tabata anatumbuiza
mwenye shibe hamjui mwenye njaa π πUnanisingizia ww ndio umechelewa.
mwenye shibe hamjui mwenye njaa [emoji14] π
12:24 pm ikifika 16:30 miayo again[emoji3][emoji3] haya wahi lunch sasa, nakutaarifu bado mapema.
2002 enzi za zezeNimeanza kumsikia nikiwa darasa LA pili ila mpaka Leo anajiona mtoto wakati Mimi nimeshazeeka
[emoji27][emoji33]usiku nililala bila kula
Alafu mpaka Leo anajiona mtoto2002 enzi za zeze
Tulikuwa wote sawa[emoji12]A
Alafu mpaka Leo anajiona mtoto
AkonNi nani huyu
Ila wewe msichana mi nakupendaga sema basi tu yanEti ubaba...hahahaaa
Enheee..jamani asanteIla wewe msichana mi nakupendaga sema basi tu yan