Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
mtoa mada naomba ubaba nyama na mirinda nyeusi baridi 😀 😀
Hivi huyo ana mtoto?
Nimeanza kumsikia nikiwa darasa LA pili ila mpaka Leo anajiona mtoto wakati Mimi nimeshazeekaKuna mtoto anadaigi ni wake. Lakini mama wa huyo mtoto huwa anampinga kuwa si wake.
Malezi mabaya.Nimeanza kumsikia nikiwa darasa LA pili ila mpaka Leo anajiona mtoto wakati Mimi nimeshazeeka
usiku nililala bila kulaHasubuhi yote hii Felister?
usiku nililala bila kula
nipitie sasaHata mimi usiku sikula. Tukanywe uji au soup basi. Sio kutupia mavitu mazito hasubuhi.
[emoji124][emoji124]Natangulia
nipitie sasa
minyoo imechachamaaEee fanya haraka.
minyoo imechachamaa