Pombe ni sumu kali sana mwilini mwa binadamu-fact

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
HI MEMBERS,
KWA KWELI NIMEJUA SASA MADHARA YA POMBE KATIKA AFYA YA MWILI WA BINADAMU.
TENA WHYSKY NI HATARI SANA KWA MAINI, MOYO, MIFUPA, FIGO, BANDAMA NK.
MIMI MWENYEWE NILIKUWA MTU WA KILAJI ILA SASA SINABUDI KUACHA MARAMOJA MAANA ITANIUA KWA KUHARIBIKIWA AFYA.
PIA WENGINE HUSEMA POMBE HUPUNGUZA NGUVU ZA KIUME KWA KIASI FULANI.
JAMANI TUNYWE KIASI AU TUACHE BUT TUKISEMA TUPUNGUZE KUKONTROL NDO ISHU.

TUWE WATU WA WATER NA JUICE JAMANI.

MWENZENU NANG'ATUKA. AFTER ALL HATA KIPATO KINAKATIKA SANA KWENYE POMBE.

REGARDS,

hAZO
 
Uamuzi wa maana sana utakuwa umeufanya, maana siyo siri, unywaji pombe unalostisha watu wengi maendeleo yao, na kama ujuavyo hii serikali ya magamba haioni sehemu nyingine ya kujikusanyia kodi zaidi ya kilaji, na mtu ukiamua kujiingiza kwenye cheap brew kama gongo, yanaweza kukukuta kama yaliyowakuta hao jamaa wa kigogo mbuyuni, hiyo jana, ambao baada ya kuamua kwenda kupata kilaji cha bei rahisi cha gongo, walevi 9 wamepoteza maisha! Kwa hiyo solution pekee ni kuachana na pombe na kurejea kwenye kinywaji cha asili kinacholeta afya mwilini, ambacho ni TOGWA!!
 
Back
Top Bottom