Jana tena wamechukua fomu kugombea ccm sijui unasema nini juu ya hili tena.madiwani wote 20 wa ccm Munduli waamia CHADEMA
Jana tena wamechukua fomu kugombea ccm sijui unasema nini juu ya hili tena.
Uzushi tu huo ,wale walibeba kadi feki
Hizo kadi feki alizoshikilia mkononi ndo mia nane? Au ukichanganya na hizo feki zingine za walionyoosha mikono juu? Nyie hamnazo kweli!
madiwani wote 20 wa ccm Munduli waamia CHADEMA
Hahahahahaaaaaa! Ka hiyo wale walioenda UKAWA kutoka CCM walikuwa na kadi feki?Uzushi tu huo ,wale walibeba kadi feki
UKAWA watajibeba mwaka huu. CCM ya Kinana si sawa na ya MakambaAisee!! Magufuli noma, 882 huku wao waking'oa 20! Ukawa mnakazi ya ziada naona mnajifariji humu jf idadi ya humu ni watu kuanzia elf1 hadi elf 12..
Mkiendelea kuwasimamisha slaa na lipumba mtaangukia pua kweli nawaambia
UKAWA watajibeba mwaka huu. CCM ya Kinana si sawa na ya Makamba
Unaweza sika kadi 500 wewe mkononi kwa wakati mmoja?Hizo kadi feki alizoshikilia mkononi ndo mia nane? Au ukichanganya na hizo feki zingine za walionyoosha mikono juu? Nyie hamnazo kweli!
Ccm wanakazi!
Mmetengeneza kadi! mmewapa watu eti wanachama wa cdm wanarudisha!? Nonsense kabisa!
Kataen madiwa waliyoibwaga ccm? Na wabunge wanaosepa?