pombe kali inapunguza mafuta mwilini??

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
Hi JF members!

Katika pita pita zangu zero pub pale, ingawa mimi ni mpenzi wa tusker 3 tu bila nyongeza nimekuwa nikikutana na wadau mbalimbali waume kwa masistaduu, wengi wamekuwa hawataki tena kunywa bia wala wine na wanakunywa whysky (konyagi, valuer, grants etc) kwa maelezo kwamba inapunguza mafuta which inturn inapunguza mwili. huwa nawasisitiza zoezi lakini they happen to be allergic with exercise, addicted to whisky only.

Kwasasa madada wengi sana they take whisky, doctors and other practitioners, is it true whisky inawapunguza mafuta/mwili???? na wote wasemao hivyo tayari wana miili mikubwa. your valued comments tafadhari.
 
mimi nikinywa bia mfululizo nakuwa na tatizo la kuwa na maji mengi mwilini
nikiongea nakuwa natema mate kama mvua
nikinywa pombe kali nakuwa fresh
nafikiri bia inaongeza sana maji mwilini
 
mimi nikinywa bia mfululizo nakuwa na tatizo la kuwa na maji mengi mwilini
nikiongea nakuwa natema mate kama mvua
nikinywa pombe kali nakuwa fresh
nafikiri bia inaongeza sana maji mwilini
mbeki bwana wewe unautani sana... is it possible? ngoja weledi waje tupate elimu sisi wanywaji, topic ni UHUSIANO WA KUPUNGUZA MWILI NA KUNYWA WHISKY. tusitoke nje ya maada plz plz
 
mbeki bwana wewe unautani sana... is it possible? ngoja weledi waje tupate elimu sisi wanywaji, topic ni UHUSIANO WA KUPUNGUZA MWILI NA KUNYWA WHISKY. tusitoke nje ya maada plz plz

mimi sio mnene sana,nina 79kg,lakini mkuu hayo niliyosema hapo juu ndiyo yananipata,
halafu unajua mimi ni business man,natakiwa nionane na watu tofauti na kuwa na meeting za hapa na pale,
nilishafanya uchunguzi wa kutosha,
nikinywa sana beer labda week moja mfululizo nakuwa natoka mate nikiwa naongea,
nahisi kunakuwa na maji mengi mwilini,
lakini nikisimama kunywa beer kama siku mbili sitoi tena mate nikiwa naongea,
nafikiri hili ni tatizo kubwa ambalo wengi haawajashtukia bado
siku hizi nakuwa na whyskey au brand nyumbani,nikiwa na hamu ya kupiga maji nafungua na kupiga glass
tatizo la mate limeyeyuka
hata kupiga goli imekuwa nzuri zaidi
 
Nyie watu nyie bana! Si unywe juice ya mapera?

Eti ukinywa bia unatoka mate mengi! Hahahaa!
Eti ukinywa pombe kali utakata mafuta!
Asee! Hebu kunywa halafu utakuja kutuambia hapa baada ya 4months!

Vijana acheni kuiga haya mapombe hayaigiki kabisa! Kunywa vijoti kama vipi!
 
Mi huwa nakunywa konyagi, inaniletea njaa sana na huwa napiga msosi kama vile nimerogwa.
Tumbo langu ni kubwa usifanye mchezo
 
Mi huwa nakunywa konyagi, inaniletea njaa sana na huwa napiga msosi kama vile nimerogwa.
Tumbo langu ni kubwa usifanye mchezo

this is absolutely true from practical scenario. whisky huleta njaa...so mtu anakula sana then body/mafuta huongezeka hence pombe kali has nothing to do with kupunguza mwili
 
Nyie watu nyie bana! Si unywe juice ya mapera?

Eti ukinywa bia unatoka mate mengi! Hahahaa!
Eti ukinywa pombe kali utakata mafuta!
Asee! Hebu kunywa halafu utakuja kutuambia hapa baada ya 4months!

mazoezi+maji mengi+punguza fats and wanga/starch + matunda zaidi ni suluhu ya kupunguza mwili. pombe ibaki kuwa kastarehe kenye maswahiba lukuki....... i concur withur views
 
Nakumbuka juzi tu hapa wakati nimelazwa nasubiri kuingia threater kwajili ya operation doctor akaniuliza unatumia pombe nikajibu ndio kwanini ili nipunguze mafuta, akaniuliza umesikia wapi hiyo jibu sina hadi leo.
 
Pombe ina punguza kasi ya metabolism na huko kunaongeza unene. bia ni zaidi sababu juu ya hapo ina sukari pia.
 
Back
Top Bottom