Pombe haina uzoefu (ukizidisha kipimo itakuumbua)

Pombe haina uzoefu (ukizidisha kipimo itakuumbua)

Pombe ikikolea kwanza hafagiliwi mtu...
Hata ukiwa kama fidodido utajiona bonge la mtu...

Pombe pombeee ikikolea inakua noma...
Pombe pombeee ikikolea inakua soo...
 
Pombe sio maji mzee yaan m nkilewa uwa napata wazo jipyaaaa.... hata aje mama makinda naweza mpiga voko akajaa
 
hahahhaa amenichekesha eti kaaamka kakuta condom nyingine vipisi nyingine mlegezo bwax hatari sana lol

we miss neddy nimecheza faulo bora gono, najiuza kama ni ngoma si muathirika asie na hatia
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha usikute ulipewa ofa maana huwa za ofa watu wanafakamia mwishoe ndo ivyo,au we ulijua pombe ni juice ya ukwaju?

hapana Mafikizolo ni kupitiwa tu hata weye yaweza tokea mkuu
 
Last edited by a moderator:
Tena shukuru Mungu ulilala kwa mchepuko,maana ungeweza mvamia mama mke mchumbani kwake ukamwomba papuchi.

Hata angeomba basi??pombe mwanaharamu haiombagi.angefika nakupakua tu mamamkwe.asubuh angejikuta selo kwa kosa LA ubakaji!!lol aibu gani !!!
 
Ni wiki ya pili sasa toka mfungo na sikukuu ya idd lakini nafsi haiko huru kabisa sababu nimefungua mfungo wa ramadhan kwa utii na karma ya Allah kama ada lakini kilichotokea ni aibu na fedhea kwangu baada kunywa na kulewa kupitiliza nilipofika nyumbani nilikuta wageni akiwemo mama mkwe nilimkumbatia na kumpiga busu kitu ambacho si kawaida.
Mke wangu akanichukua akanipeleka chumbani akanisii nipumzike (ali hisi siko sawa).

Dakika kumi baadae nikaona dunia kama inazunguka nikatoka nikachukua gari (fuso ya bosi ananiachiaga) nikapakiza familia yangu na watoto wa jirani nikawapeleka beach kisha nikawatelekeza.

Nikaenda kwa mchepuko nikalala huko huko saa 11 alfajiri nikashangaa naamshwa nikitegemea niko nyumbani dah lah aurah wapi.

Akili ilikufanya ganzi alafu taratibu nikamuuliza vp?

Akaniambia konda wako anakuulizia.

Nikijicheki niko mtupu alafu kondom nilizovaa nyengine mlegezo nyingine vipisi kabisa kabisa. NTARUDI VIP NYUMBANI?
Kwa siku zote.

Nimeishia kulala gesti na mambo mengine yote anamaliza konda wangu sababu nazompa ni kwamba niko safarini na nimepata dharura
nafsi yangu inanisuta sana si kwa familia tu hata jamii kwa ujumla.

Naomba ushauri wenu jamani nirudi kwa gia gani?
Hahahahahahahaha hahahahahahahaha haha
 
Back
Top Bottom