yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,778
- 1,222
Ni wiki ya pili sasa toka mfungo na sikukuu ya idd lakini nafsi haiko huru kabisa sababu nimefungua mfungo wa ramadhan kwa utii na karma ya Allah kama ada lakini kilichotokea ni aibu na fedhea kwangu baada kunywa na kulewa kupitiliza nilipofika nyumbani nilikuta wageni akiwemo mama mkwe nilimkumbatia na kumpiga busu kitu ambacho si kawaida.
Mke wangu akanichukua akanipeleka chumbani akanisii nipumzike (ali hisi siko sawa).
Dakika kumi baadae nikaona dunia kama inazunguka nikatoka nikachukua gari (fuso ya bosi ananiachiaga) nikapakiza familia yangu na watoto wa jirani nikawapeleka beach kisha nikawatelekeza.
Nikaenda kwa mchepuko nikalala huko huko saa 11 alfajiri nikashangaa naamshwa nikitegemea niko nyumbani dah lah aurah wapi.
Akili ilikufanya ganzi alafu taratibu nikamuuliza vp?
Akaniambia konda wako anakuulizia.
Nikijicheki niko mtupu alafu kondom nilizovaa nyengine mlegezo nyingine vipisi kabisa kabisa. NTARUDI VIP NYUMBANI?
Kwa siku zote.
Nimeishia kulala gesti na mambo mengine yote anamaliza konda wangu sababu nazompa ni kwamba niko safarini na nimepata dharura
nafsi yangu inanisuta sana si kwa familia tu hata jamii kwa ujumla.
Naomba ushauri wenu jamani nirudi kwa gia gani?