Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,145
- 88,816
Hiyo ndio tabia yao. Sema tu mkiwa hamjalewa mnaona aibu.Inakuaje isiwe na madhara mkuu, na tunaona tuna jamaa zetu wakiwa hawajalewa niwastarab mno...akivisha tu anafanya vitu visivyotegemewa.
Ni kama kusema pesa inabadirisha mtu tabia. Hapana. Ile ni tabia yake, sema umasikini ni kama screen protector.